Lema: Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,996
Nimesoma Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lema huko X ukurasani Kwake akidai Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri

Nimeangalia Viti vya mbele sijamuona Dr Slaa wala Tundu Lisu wa Mwembeyanga

Ndio najiuliza hivi Lema anatumia kilevi gani?🐼
 
Aisee 🤣 🤣
 
Ndio najiuliza hivi Lema anatumia kilevi gani?
Walioanza kusema Richmond ni ya EL ni MaCCM, tena bungeni.

Aliyesema EL ana ukwasi usio na maelezo ni MaCCM, (Mwalimu akiwemo).

Niendeleee....!!??

Hao CCM si ndio waliokuwa wamekaa viti vya mbele msibani!?
 
Nimesoma Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lema huko X ukurasani Kwake akidai Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri

Nimeangalia Viti vya mbele sijamuona Dr Slaa wala Tundu Lisu wa Mwembeyanga

Ndio najiuliza hivi Lema anatumia kilevi gani?🐼
Lema yeye mwenyewe alisema ni furaha kwa Mungu lowassa kupigwa mawe.
Hii nchi unafiki mwingi.
Lowassa aliwajibika kama waziri mkuu, waliomtangaza fisadi nchi nzima ni chadema akiwemo lema. So, hawawezi kujivua hili.
 
Hivi bado mnaiongelea ccm..!! Ccm ilishajifia kitambo, imebaki dola tu. Hakuna chama pale na leo hii hata muuaji Makonda ndio afe utasikia wanavyo overlap one another kwa kumwagia sifa za uongo. Bure kabisa.
 
CCM na Chadema mnaiharibu sana nchi hii, unafiki, majungu, na mambo mengi ya kuhujumiana na kusingiziana. Tanzania bila CCM na Chadema inawezekana. Tunahitaji chama kipya kitakacholeta mshikamano wa nchi bila chuki na unafiki.
 
Nimesoma Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lema huko X ukurasani Kwake akidai Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri

Nimeangalia Viti vya mbele sijamuona Dr Slaa wala Tundu Lisu wa Mwembeyanga

Ndio najiuliza hivi Lema anatumia kilevi gani?🐼
Ndio tatizo la lema kujifanya mjanja saana wakati ni mtu mjinga. Ila lema ana tatizo zaidi maana kwa kua mchaga anajifanya msomi wakati wachaga kwa kawaida wengi ni wajanjawajanja hata kama sio msomi.
 
Nimesoma Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lema huko X ukurasani Kwake akidai Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri

Nimeangalia Viti vya mbele sijamuona Dr Slaa wala Tundu Lisu wa Mwembeyanga

Ndio najiuliza hivi Lema anatumia kilevi gani?🐼
Kwani kakwambia kuwa walikuwa wangapi walioambiwa pamoja au kasema aliambiwa?
 
Huyo alienda kutalii tu msibani. Ye si ndio alisemani heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mwizi na fisadi kama Lowasa...akaenda mbali zaidi akasema Lowasa ana mvi ila mvi zake hazina busara.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Baadaye walimsafisha na kumpa fursa ta kugombea urais 2015.Kama siyo Kiwete,Lowassa angetangazwa mshundi na Maalimu angetangazwa rais wa Zanzibar
 
CCM siyo wanafiki kama Chadema kwenye jambo hilo la Lowasa.
CCM walimshughulikia Lowasa hadi akajiuzulu na baadaye wakamnyima kugombea urais.Aliporudi CCM baada ya kutoka Chadema wakamuandikia barua ya kumuonya kutokuunda makundi ndani ya CCM.Lowasa akatulia kabisa.
Juzi Lisu anahojiwa na Star TV juu ya kumruhusu Lowasa kugombea akasema waliona kwa kuwa alishaadhibiwa kwa kujiuzulu kwa hiyo makosa yake yamefutika.
Ni unafiki ulioje!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom