Rais Samia ameendelea kuibeba na kuipeperusha ajenda ya Ukombozi wa Wanawake.
Akizungumza kwenye sherehe za kiximkazi Day amezitaka taasisi zote za Umma kuhakikisha wanawake wapewa nafasi za...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi...
KUELEKEA miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, akiwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu hapa nchini, mkazi wa Dar es Salaam, Lucas Emmanuel amesema kuna haja akaandaliwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati...
Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika?
Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Tabata, mbele ya Umati mkubwa wa Wananchi, Tundu Lissu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Amesema kwamba, Nchi ya Tanzania bado inatafuta...
Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.
Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka...
Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi.
Hali ya hewa ya Dodoma ni...
Uteuzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Wakurugenzi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo...
Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania...
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.
Huku...
Waziri wa mambo ya Nje mh January Makamba amewaambia diaspora nchini Italy Kwamba tuna kila sababu ya kumchagua tena Rais Samia katika Uchaguzi wa 2025
January amesema Rais Samia alichukua...
-Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali...
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi shupavu na mwenye ujasiri tangu alipoingia madarakani. Kama mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Rais Samia ameleta mabadiliko...
Hayati Magufuli alikuwa ni mwafrika tena mwenye mfumo dume. Alikuwa baba ambaye amekuzwa katika kusema ukweli na kushinikiza kutendeka kila anachotaka yeye. Alikuwa mzazi asiyependa kukosolewa na...
Kama alivyosema Ismael Jussa kwamba mabadiliko kamili nchini Tanzania yataanzia Zanzibar kupitia ACT wazalendo " mpya"
Sasa nimeanza kumuelewa nawaona Watu wanagombea Kadi
Kustaafu kwa Zitto...
Siasa za uswahiba na kupigana majungu zimemfanya Rais amuondoe mkuu wa mkoa Singida Peter Serukamba baada ya kukwama kutimiza majukumu yake huku Rais akitamka hadharani kuwa Serukamba ni mchapa...
Tofauti na propaganda za serikali ya wanaccm za kila mwaka, kuwa uchumi wa watanzania unakuwa kwa asilimia kubwa kila mwaka, benki ya Dunia imewashushua waendesha propaganda hizo kwa kueleza...
Juzi Mhe. Rais akiwaapisha Wateule wake alikemea sana wizi unaofanyika Serikalini na baadaye akasema kuwa kuanzia sasa Halmashauri zitapewa fedha kutoka Serikalini kutokana na makusanyo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.