Nani mwingine kaona mabadiliko makubwa ya Mkuu wa Mkoa Chalamila? Very intelligent, kama kuzaliwa mjini form six, basi ataacha Dsm na Masters

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.

Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka iliyopita. May be kakomaa kisiasa au sasa kaamua kutumia kichwa chake sawasawa.

Ni hotuba zilizojaa usomi, umakini, analysis, na kwa mtu mwenye majukumu makubwa kama yake, ana kumbukumbu za takwimu na matukio makubwa. Kaachana na kuchapa viboko vianafunzi, na mengine kama ya pale kwao Iringa ya kujitapa kuwa na uwezo wa kutoa uhai

Nadhani sasa atakuwa mbuyu wa siasa, kukumbatia mbuyu ni ngumu.
 
kumbukumbu pekee aliyonayo ni idadi ya vipande vya nyama alivyokula kwenye kila hafla aliyoalikwa.

Chalamila ni Kingwendu na Bambo aliepata bahati ya kuteuliwa tu. Ni zwazwa tu ambae angefaa labda kuwa MC wa shughuli za vigodoro.
 
Utakufa nacho kijiba cha roho .....
 
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.

Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka iliyopita. May be kakomaa kisiasa au sasa kaamua kutumia kichwa chake sawasawa.

Ni hotuba zilizojaa usomi, umakini, analysis, na kwa mtu mwenye majukumu makubwa kama yake, ana kumbukumbu za takwimu na matukio makubwa. Kaachana na kuchapa viboko vianafunzi, na mengine kama ya pale kwao Iringa ya kujitapa kuwa na uwezo wa kutoa uhai

Nadhani sasa atakuwa mbuyu wa siasa, kukumbatia mbuyu ni ngumu.
Hawa wapuuzi wa kuteuliwa Leo Dsm kesho Mwanza keshokutwa Mbeya hawawezi kuwa na faida yoyote kwenye utatuzi wa changamoto za mikoa husika kwani hawana lolote wanalolijua. Ni upumbavu kupotezaa Kodi za wananchi Kwa hivi vyeo vya kijinga vya kugawiana zawadi
 
Ni hotuba zilizojaa usomi, umakini, analysis, na kwa mtu mwenye majukumu makubwa kama yake, ana kumbukumbu za takwimu na matukio makubwa. Kaachana na kuchapa viboko vianafunzi, na mengine kama ya pale kwao Iringa ya kujitapa kuwa na uwezo wa kutoa uhai
Sisi wakazi wa Dar hatuishi kwa hotuba, tunahitaji kuondolewa kero, kama ni hotuba basi tunajua Sheikh Kipozeo ana hotuba bora kuliko mtu mwingine yeyote
 
Kama ni mzuri wa Hotuba na Presentation labda aende kuomba kazi za kuandika Hotuba au akawe Motivation Speaker.....

Uongozi sio Hotuba Pekee; Hata Bubu anaweza kuwa Kiongozi so long as ana-communicate na watu....

Qualities of Good Leaders
Integrity, self-awareness, courage, respect, compassion, resilience, learning agility and flex their influence while communicating the vision, showing gratitude, and collaborating effectively.
 
MTU hasifiwi kwa hotuba.
Matendo ndio tunaangalia.
Amesema atakomesha umalaya, Kiko wapii.
Sukari Bei juu, mwendokasi Ni majanga. Yule mahali pake Ni kwa kina mkandamizwaji, muhuni na kina mkwele.
 
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.

Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka iliyopita. May be kakomaa kisiasa au sasa kaamua kutumia kichwa chake sawasawa.

Ni hotuba zilizojaa usomi, umakini, analysis, na kwa mtu mwenye majukumu makubwa kama yake, ana kumbukumbu za takwimu na matukio makubwa. Kaachana na kuchapa viboko vianafunzi, na mengine kama ya pale kwao Iringa ya kujitapa kuwa na uwezo wa kutoa uhai

Nadhani sasa atakuwa mbuyu wa siasa, kukumbatia mbuyu ni ngumu.
Chalamila ndio kiboko ya watu jeuri wa Dar wanaojifanyaga wa mjini.

Bila kujitoa akili hapo Dar hupawezi.Kwanza Aliweza Mbeya Kwa majeuri atashindwa hapo Dar Kwa Watoto wa mama ila mdomo mwiiiingi.
 
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.

Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka iliyopita. May be kakomaa kisiasa au sasa kaamua kutumia kichwa chake sawasawa.

Ni hotuba zilizojaa usomi, umakini, analysis, na kwa mtu mwenye majukumu makubwa kama yake, ana kumbukumbu za takwimu na matukio makubwa. Kaachana na kuchapa viboko vianafunzi, na mengine kama ya pale kwao Iringa ya kujitapa kuwa na uwezo wa kutoa uhai

Nadhani sasa atakuwa mbuyu wa siasa, kukumbatia mbuyu ni ngumu.
mhhh mwashambwa umekuja kivingine
 
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka iliyopita. May be kakomaa kisiasa au sasa kaamua kutumia kichwa chake sawasawa.
Mbona kichwa cha habari hakiendani na ulichoandika?
Mabadiliko gani aliyofanya DSM huyu RC hebu tuanzie hapo?
Jaribu kuwa mtulivu wakati unaandika badala ya kukurupuka!
 
Back
Top Bottom