Wakazi wa Ngorongoro wamefurahishwa na tukio la kuzuiwa kwa Mwanaharakati Joseph Moses Oleshangay anaeishi jijini Arusha aliyeanzisha harakati za kujitawaza kuwa Laigwanan wa jamii ya kimasai...
Mbunge wa Mchinga mkoani Lindi mama Salma Kikwete amelazimika kutumia usafiri wa bodaboda kuweza kuwafikia Wapiga kura wake walioathiriwa na Mafuriko jimboni kwake
Mama Kikwete amekuwa Mbunge wa...
Tanzania imependekeza Uwepo Mdahalo wa Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa
Mdahalo huo utawezesha nchi Wanachama kutambua Maono ya Wagombea watakaochaguliwa...
Huyu bwana ni Moja ya Wakuu wa Mikoa makini sana niliwahi kuwaona Toka Akiwa DC ila bahati mbaya sana inaonekana Ukiwa huko Serikalini hutakiwi kufanya kazi Kwa umakini.
Wengine ambao wanaweza...
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia...
Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) 2023 linaloendelea Jijini Dar es Salaam. Tanzania imepata bahati nyingine tena ya kuaminiwa kwa kuwaleta...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya...
Na, Robert Heriel
Je, sisi ni watumwa?
Je, sisi ni Mateka? Nauliza sisi ni misukule?
Ukiambiwa viwanda vimejengwa, uliza swali hili je kimeajiri wafanyakazi au watumwa?
Mada hii ni chungu, kama...
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.
Ni ushamba...
Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali. Fedha zote zinatunzwa Wizara ya Fedha. Zinatolewa Wizara ya Fedha kwa utaratibu uliokubaliki Waziri wa fedha akiwa na taarifa. Fedha zinaenda...
Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na...
Salaam,
Kuna Mama Mjane wa Tegeta Aliye Ililia Serikali ya Awamu ya Tano Kumsaidia ili Kuokoa Nyumba Yake Inayotaka Kuchakachuliwa na Kibopa!
Imefikia Kibopa Huyo Kuchimba Shimo la Choo Mbele ya...
Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana!
Shalomu Tanzania!
Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa...
Mheshimiwa Rais,
Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali...
Habari hii haikuandikwa na vyombo vingi vya Habari. Mwezi March mwaka huu (2021) Kulikuwa na ndege aina ya Airbus A380-800, ilikuwa inasafiri kutoka Tanzania kwenda Tanzania Mpya . Ndege hii...
Mbunge wa Lushoto mjini Shaban Shekilindi almaarufu Boznia anahusishwa na tuhuma za kufanya njama ya kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Lushoto Mbaruku Matei.
Kuhusishwa kwa...
King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.
Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna...
UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula...
Nitaandika Kwa kifupi Tu.
Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete.
Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.