Dmitri Tsafendas alikuwa karani wa bunge la Afrika Kusini wakati wa utawala wa makaburu waliokuwa wanaendeleza ubaguzi wa rangi, chini ya waziri mkuu wa wakati huo Dr Verwoerd. Huyu Dr Verwoerd...
Mbowe: Kikwete ameelemewa
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Rais Jakaya Kikwete anahitaji...
Hivi mkuu wa Trafiki tuseme ndiyo hajui kinachotokea siku za Jumatatu kila wiki, mara 52 kwa mwaka katika barabara ya Buguruni-Kwa Nyerere?
Invyoelekea usalama au uchafuzi barabarani katika...
Ndugu wadau,
Hivi karibuni nimepata kupokea ujumbe huu kwenye inbox yangu toka kwa watu tofauti tofauti,nikatafakari yale yaliyomo na yale tunayojadili hapa jf,nikahisi kwamba labda kuna kuna...
JK: Watakaothibitika kuua albino kunyongwa
na Esther Mbussi
RAIS Jakaya Kikwete amesema wale wote watakaobainika na hatia ya mauaji ya maalbino nchini watakabiliwa na adhabu ya kifo...
Ndugu wanabodi,
Tanzania sasa tunahujumiwa hata na balozi zetu, hii sasa inatisha kisa chenyewe kiko hivi.
Mimi ni Mtanzania ninaishi Denmark ingawa sio mwanachama rasmi wa umoja wa...
Jengo la kale Bagamoyo nusura limmalize Mchina
2008-10-17 22:22:34
Na Daniel Mkate, Bagamoyo
Mchina mmoja ambaye alikuwa msimamizi wa kampuni ya ujenzi ya CHICO inayobomoa jengo la kale...
Risasi zarindima Kariakoo
POLISI Dar es Salaam jana walilazimika kufyatua risasi hewani baada ya kutokea mtafaruku kati ya wafanyabiashara ndogondogo, mgambo wa jiji na maofisa wa Taasisi ya...
Ufisadi wazua balaa kongamano la siasa
2008-10-18 10:32:03
Na Simon Mhina
Kimbunga cha ufisadi bado kinakitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi kwamba, sasa hali ya mgawanyiko...
Wakuu heshima mbele,
Naomba kuuliza, kabla Ali Hasan Mwinyi hajateuliwa kuwa Rais wa Zanzibar Baada ya kujiuzulu Aboud Jumbe mwaka 1984, Mwinyi alikuwa na wadhifa gani mwaka huo wa 1984?
Kesho Ijumaa aliyekuwa Mwandishi wa ITV huko Mara Bw. George Marato anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari kujibu madai yaliyotolewa na Jukwaa la Wahariri kuwa alihusika katika...
Lipumba: Tumkumbuke Mwalimu Nyerere Siku ya Kuzaliwa
Mwandishi Wetu Oktoba 15, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Asema aliowaamini ndio waliovuruga nchi
MWENYEKITI wa Chama cha...
2008-08-09 09:37:58
Na Simon Mhina
Kuna taarifa kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumshawishi Profesa Samwel Wangwe Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, awanie ubunge Jimbo la...
Utulivu wa maji ndani ya mtungi, au tunanyolewa?
Rai ya Jenerali Ulimwengu Oktoba 15, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni itendo
HEBU sasa tujaribu kuchora picha ya hali ya nchi yetu, lengo...
Leo Mabere Marando ametangaza wazi wazi kwamba baada ya Mhariri wa MwanaHalisi kutishiwa na Karamagi yeye alimwandikia Mhariri na kumthibitishia kwamba atawatetea bure na amewataka Umoja wa...
Serikali isilaumiwe kwa hali ngumu ya maisha-JK
2008-10-13 10:24:10
Na Thobias Mwanakatwe, Kyela
Rais Jakaya Kikwete amesema kushuka kwa uchumi wa dunia hivi sasa ni lazima kutaathiri...
Habari zenu wana wa Jamii forums.
Katika lengo letu la kuwaelimisha wananchi tumeanzisha weblog http://www.hakinaumma.wordpress.com. Karibuni sana kutembelea weblog hiyo/
Sitta faults court on `tainted` oil move
2008-10-10 12:12:40
By Rodgers Luhwago
National Assembly Speaker Samuel Sitta has expressed ``profound shock`` over the issuance of an injunction...
Mahakama ya Nigeria imepitisha hukumu kwa kampuni ya Shell BP kuwarudishia wananchi wake ardhi ambayo ndiyo yenye mradi mkubwa wa uchimbaji mafuta!...Hii ilikuwa moja ya ahadi ya rais wao mpya...