Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama unadaiwa na serikali basi hawa ndio watakuja kukudai Madalali 11 waomba kukusanya Fedhaza Ufisadi.. KAMPUNI 11 za udalali zimeomba zipewe kazi ya kukusanya Sh bilioni 199...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ninadhani sifa kuu ya wana CCM ni kulinda maslahi ya chama chao kwa nguvu zote. Hii inatokana na maamuzi ya CC-CCM ya hivi majuzi kuwashughulikia viongozi wa Jumuiya ya Wazazi na Katibu wa CCM wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ulaya na Marekani rasmi sasa hoi bin taabani WATANZANIA TUANZE KUJIANDAA KUFUNGA MIKANDA KWA MIEZI ISHIRINI NA NNE na pengine zaidi na kama tusipokuwa watundu na wabunifu na kuachana na mazoea...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mgombea mmoja wa nafasi ya Ujumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi wa CCM taifa amemwaga `lazi` kuanzia mchana wa jana hadi usiku wa kuamkia leo baada ya kuwalisha misosi wajumbe kibao wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu mwanamama anaiturn one with her intelligence,sense of perspective, real genuine lady there. Can you imagine akigombana na mumwewe basi inaelekea zitakuwa the most intellectual "throw downs"...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Imetolewa mara ya mwisho: 13.11.2008 1119 EAT • Kabwe afurahia sitofahamu CCM Na Said Mwishehe Majira MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Bw. Zitto Kabwe amesema...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanaforum, Sheria moja ya kazi huwa inaweka conditions za mtu kulipwa mafao baada ya kuacha kazi; sheria hii huwa inaelekeza kuwa mtu atalipwa mafao yake ya mwisho endapo tu mtu huyo ataacha...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Unaombwa utoe ushauri wa jinsi ya kutatua matatizo ya elimu ya Juu nchini ili hatimaye: a. Migomo isiyo ya lazima isitokee b. Elimu ya Juu inapatikana kwa kila atakaye c. Familia zinaweza...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
na Mwandishi Wetu MGOMBEA wa nafasi ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) NEC, Shyrose Bhanji, jana aliwatoa machozi wajumbe wa NEC, alipotoa maneno ya shukrani baada ya...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Nimekutana na habari hii kwenye Gazeti la Mwananchi inayotaja jina la Mh Mkuchika na kujiuliza kama ule "mgomo" umekwisha au laa Serikali yajikuta katika mtego wa kuliadhibu gazeti lake Na...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
PCCB acts tough against corruption ANNE ROBI Daily News; Thursday,November 13, 2008 @21:15 The Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Dr Edward Hosea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi? Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa...
0 Reactions
405 Replies
55K Views
hili ni mojawapo ya maswali ambayo bado sijapata majibu yake kwa hakika. Mara nyingi tumeona jinsi sekta binafsi (makampuni kadha wa kadha na watu binafsi) wakiunga mkono chama tawala aidha kwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Date::11/10/2008 Makamba chupuchupu tena Na Ramadhan Semtawa, Dodoma Mwananchi NJAMA za kumng’oa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba, zimegonga ukuta. Kugonga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
•Zanzibar ni nchi ndani na nje ya Tanzania •Hatukuchanganya utaifa bali uraia •Mjadala haujafungwa, bado unaendelea •Zanzibar daima…jana, leo na kesho Na Mohammed Khelef Ghassani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau mbunge wa mbeya vijiini..ndugu nyaulawa ni mgonjwa...sana ..tumkumbuke kwenye maombi...
0 Reactions
89 Replies
16K Views
Na Said Mwishehe, Majira MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Bw. Zitto Kabwe amesema anafurahishwa na hali ya mvurugano inayoendelea ndani ya Chama chaMapinduzi (CCM) na hasa kauli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sultan Seif Sharrif Hamad ameshachukua fomu za kugombea tena nafasi ya katibu mkuu wa CUF. Lipumba yeye amesema ataamua wiki moja kabla ya uchaguzi wa chama hicho ili kutowatisha wanachama wengine...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Gold has tailings Anne Outwater Daily News; Saturday,November 08, 2008 @21:15 I feel relief every time I read that the mining contracts are about to be reviewed. It may relieve some of the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Well.. habari ndiyo hiyo! Ukitaka nakala yako kila wiki fuata maelekezo kwenye kijarida ili ujiandikishe.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom