CCM ilihusika kifo cha Wangwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ilihusika kifo cha Wangwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Augustoons, Oct 19, 2008.

 1. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ndugu wadau,
  Hivi karibuni nimepata kupokea ujumbe huu kwenye inbox yangu toka kwa watu tofauti tofauti,nikatafakari yale yaliyomo na yale tunayojadili hapa jf,nikahisi kwamba labda kuna kuna uhalsia fulani au sio na hivyo bora uje hapa jamvini kuona kama kuna hoja yoyote inayoweza kujengwa au kama ulishajadiliwa mod atajua au la lakini kaa hali ya watu kutumiwa ndiyo hii basi mambo yanakokwenda si kuzuri kabisaaa. Ujumbe wenyewe umekuja kama hivi,na mimi hapa nanukuu kaa ulivyo

  usichoke soma mpaka mwisho!!!

  ..................................Mungu ameendelea kutuonesha kuwa tunaongozwa na mafisadi ambao wanatumia hata watumishi wa Mungu(Mtikila) kufanya kazi ya shetani.Mafisadi wameviza hata dhamira za wenye sauti katika jamii kiasi kwamba inawalazimu watu wanyonge wajitetee wenyewe kwani mfumo wa sheria nao umewekwa mikononi mwa watumishi wafu kiroho na kimaadili.

  Baadhi ya walioaminika hapo kabla sasa ni wasemaji na watetezi rasmi wa mafisadi mfano James Mbatia,Dr.Sengodo Mvungi,Profesa Samwel Wangwe,Deusi Ngowi,Robert Manumba,Venance Tossi,Deodatus Balile,nk. Hawa ni watetezi wapya wa mafisadi mbali na wale watetezi wa mafisadi tuliowazoea(Yusufu Makamba,Pius Msekwa,Jakaya Kikwete,Emmanuel Nchimbi,Benno Malisa,Francis Isaac,Peter Serukamba,John Komba,Hiza Tambwe,Thomas Ngawaiya,Salum Msabaha,Paul Kyara,Peter Kisumo,Omari Mahita,nk)

  Mungu amewatumia wananchi wazalendo wa Tarime kuuonesha umma kuwa kuwahadaa watu wazima ni vigumu hasa pale wanapojua mambo yanavyokwenda.

  MUUAJI WA CHACHA WANGWE NI NANI?Waulize wazalendo wa Tarime watakuambia sio tu kwa neema na uwezo wa Mungu bali pia kwa sababu WANAUSALAMA WENGI WA TANZANIA WANATOKEA mkoani Mara hususani TARIME na SERENGETI na waliwaeleza watu wao wa karibu kilichotokea mapema hata kabla ya kifo hicho kujulikana kwa umma wa watanzania wote....

  CCM ILIMUUA WANGWE ILI KUUZUBAISHA UMMA NA KUZIMA HOJA NA VITA DHIDI YA UFISADI,vita inayoongozwa na VIONGOZI WA CHADEMA.
  ZITTO ALIKUWA AUAWE KIPINDI KILE CHA MJADALA WA AKUBALI au AKATAE UTEUZI KTK TUME YA MADINI AU ASIKUBALI LAKINI ILISHINDIKANA KWANI TAJETI ILIKOSEWA NA IKALENGA ASIYEKUSUDIWA YAANI SALOME MBATIA Mungu ameendelea kudhihirisha utukufu wake kwa kupandikiza uelewa ndani ya wakazi wa Tarime ambao umekuwa ni silaha ya kuwaumbua mafisadi na vibaraka wao wote.

  Siku si nyingi Mungu ataufunulia umma ni jinsi gani ofisi ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kwa maelekezo/shinikizo la makamba na lowassa) pamoja na ndugu wa kuzaliwa wa Chacha Wangwe hasa Profesa Samwel Wangwe na Peter Wangwe walivyoshiriki katika kufanikisha mauti ya ndugu yao wa damu kwa maslahi ya mafisadi ili kuzima mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi na maslahi yao binafsi(wamepokea vijisenti kadhaa ili waseme ccm haihusiki bali chadema).

  Haya yote yapo katika mpango ujulikanao kama OVUCHACHA-OPL yaani operesheni vuruga na chafua chadema – safisha lowassa.MAKAMBA AKIBANWA ATAELEZA ALIKOIPATA MKOBA NA LAPTOP YA MAREHEMU CHACHA WANGWE ILIYOPOTEA SIKU YA TUKIO
  Tume ikiundwa haya yatajulikana na wahusika wote watajulikana na umma utashangaa ilikuwaje.

  Spika Sitta na Naibu Spika Makinda walitishwa kuwa wasipotoa ushirikiano CCM-NEC itaitishwa ili kuwang'oa kwani inaonekana wanawasaidia wapinzani kung'ara katika siasa za Tanzania huku wakiififisha CCM.Tuendelee kusubiri na kujionea jinsi matendo makuu ya mungu yatakavyojidhihirisha siku za usoni.

  Naipenda Tanzania!Naipenda Afrika
  Asante na ubarikiwe kama nawe ni mzalendo uipendayo Tanzania kwa dhati na uko tayari kuilinda isiangamizwe na mafisadi
   
 2. n

  nat867 Member

  #2
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya hapo. Yote yameshaandikwa sana
   
 3. m

  mgirima Member

  #3
  Oct 19, 2008
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EXPIRED!

  Even to TBS standards.
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  though expired,still wonderful.
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,565
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Hakuna kilicho expire hapo.
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kama mtu huwezi changia nyamaza sio kuandika vimaneno kama hivyo
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,565
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Vimaneno gani?
  Wewe umechangia nini?
   
 8. K

  Kakulwa Senior Member

  #8
  Oct 19, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu
  Hiyo ya Zitto kukoswakoswa kama kuna kaukweli vile!!!
   
 9. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #9
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  umeona mgirima alichoandika?
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,565
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Mgirima unaweza kutueleza ni kwa kivipi habari hii ime expire kwa standard yoyote ile? I mean in whatever means and forms or even terms.
  Uko free hapo kutumia vigezo vyovyote unavyovitaka ili kunishawishi ama kuonyesha ushahidi kuwa ime "Expire"
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Oct 19, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280

  Hilo jipya mlilonalo ni lipi?

  waberoya
   
 12. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hii habari ni sawa na iliyosomwa ITV ikijibu shutuma za mtikila.
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,565
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Kwani ITV ndio habari?
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,606
  Likes Received: 82,181
  Trophy Points: 280
  Mushi, kuna njemba zimeibuka siku za karibuni kutetea kwa kila hali uongozi mbovu wa JK, tutakula nao sahani moja maana wakati wa kuendelea kutuzuga na Watanzania kunyamaza kimya umeshapita miaka mingi sana.
   
 15. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri humu ndani ya Jamii forum bado team ile ya mafisadi imo inafanya kazi; habari mhimu ktk mjadala tunaziua kwa visingizio vya expiry nk; kama ni nhivyo hata hotuba za nyerere ni expired, hata aliyofanya Mkapa ni expired; nafikiri kuna dharau humu ndani either kwa kutokujua au kwa kujua na hii tusipoiangalia itatupeleka pabaya; Mod aangalie sana hawa watu awape flag fulani ili tukijua comments imetoka kwa mtu fulani tujue lengo lake ni lipi hata kabl ay akusoma comments; itakuwa rahisi kwa watu serious kuendelea na mjadala mhimu; mie nimepata msg nyingi za aina hii naamini ni uzalendo watu unawasumbua na hiyo ni mhimu sana mali zao zinaibwa; watasema nini kwa watoto wao?
   
 16. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kwanza ku expire maanake nini.More explanation please
   
 17. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,565
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Tuanze kukuuliza wewe....And then tuendelee na how wonderfull it is.

  Hii ni kwasababu ya hii....
   
 18. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wamefanikiwa!
  maana badala ya kuzungumzia kilichomo kwenye huo ujumbe
  tumejikita kwenye ku-expire au la.
  tuwe macho.
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  We bubu wajuaje hao njemba labda ni Kikwete, EL, RA na wanafamilia wao?
  Unadhani watadiliki kukaa kimya?
  Ninachojua uongo siku zote una mwisho. Na sasa inavyoelekea unaelekea kufika mwisho maana watu wameukinai
   
 20. M

  Mkandara Verified User

  #20
  Oct 19, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sina mahusiano makubwa na siasa za CCM ila nimehakikishiwa kipande hiki kweli kimetokea. Cha ajabu ni kwamba maslahi ya Wananchi na kuliweka Taifa kwanza zinaitwa ni sera za Upinzani... Hapo mishipa ya akili imesimama, sijui niseme nini kuhusiana na CCM..
   
Loading...