News Alert: Marato kulijibu Jukwaa la Wahariri

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kesho Ijumaa aliyekuwa Mwandishi wa ITV huko Mara Bw. George Marato anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari kujibu madai yaliyotolewa na Jukwaa la Wahariri kuwa alihusika katika upotoshaji wa habari ambazo zilirudiwa na vyombo vingine vya habari, yeye akiwa ni chanzo kikuu.

Ka "nzi" ambako hakajapata usingizi siku ya nne sasa kamedokeza kuwa Bw. Marato ambaye anafadhiliwa na kundi la wanasiasa kadhaa wakiongozwa na Mbunge mmoja wa kanda ya kati ambaye ni mmiliki wa vyombo vya habari ataitishia mkutano huo ili kujibu jukwaa hilo, lakini pia kuendeleza mgongano wa kifikra na kibiashara dhidi ya ITV na mmiliki wa vyombo vya habari vya IPP Bw. Reginald Mengi.

Uchunguzi wa haraka haraka unaonesha kuwa Jukwaa hilo linasubiri kwa hamu mkutano huo wa Bw. Marato....

(stay tuned)....
 
Nadhani historia ina andikwa, hii ni vita baridi kati ya mafisadi na walala hoi
ombi langu isije siku moja hii vita baridi ikageuka kuwa moto!
 
Ka "nzi" ambako hakajapata usingizi siku ya nne sasa kamedokeza kuwa Bw. Marato ambaye anafadhiliwa na kundi la wanasiasa kadhaa wakiongozwa na Mbunge mmoja wa kanda ya kati ambaye ni mmiliki wa vyombo vya habari ataitishia mkutano huo ili kujibu jukwaa hilo, lakini pia kuendeleza mgongano wa kifikra na kibiashara dhidi ya ITV na mmiliki wa vyombo vya habari vya IPP Bw. Reginald Mengi. (stay tuned)....

Mwanakijiji kama upande mmoja unafadhiliwa na mbunge na mmiliki wa vyombo vya habari, na upande wa pili (Jukwaa la Wahariri) linafadhiliwa na nani?
 
George Maratu anaukwaa umaarufu hivi hivi! Punde atakuwa "staa wa bongo" anayemzidi yule "Joooni mvaa viatu wa ze komediiiii"!
 
Kesho Ijumaa aliyekuwa Mwandishi wa ITV huko Mara Bw. George Marato anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari kujibu madai yaliyotolewa na Jukwaa la Wahariri kuwa alihusika katika upotoshaji wa habari ambazo zilirudiwa na vyombo vingine vya habari, yeye akiwa ni chanzo kikuu.

Ka "nzi" ambako hakajapata usingizi siku ya nne sasa kamedokeza kuwa Bw. Marato ambaye anafadhiliwa na kundi la wanasiasa kadhaa wakiongozwa na Mbunge mmoja wa kanda ya kati ambaye ni mmiliki wa vyombo vya habari ataitishia mkutano huo ili kujibu jukwaa hilo, lakini pia kuendeleza mgongano wa kifikra na kibiashara dhidi ya ITV na mmiliki wa vyombo vya habari vya IPP Bw. Reginald Mengi.

Uchunguzi wa haraka haraka unaonesha kuwa Jukwaa hilo linasubiri kwa hamu mkutano huo wa Bw. Marato....

(stay tuned)....

Na hako "ka-inzi" kana fadhiliwa na nani?
 
kaangalie kwenye KLHN utaona kuna mahali pa kubonyeza kuonesha nani anaifadhili. Nilidhani uliposema "yetu" ulikuwa unajua nani anaifadhili. Well, it is definitely NOT YOU. Kwa sababu wewe unasubiri wengine wafanye wewe ubakie kukosoa.
 
Kesho Ijumaa aliyekuwa Mwandishi wa ITV huko Mara Bw. George Marato anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari kujibu madai yaliyotolewa na Jukwaa la Wahariri kuwa alihusika katika upotoshaji wa habari ambazo zilirudiwa na vyombo vingine vya habari, yeye akiwa ni chanzo kikuu.

(stay tuned)....

Nani mchochezi hapa tumpe miezi mitatu? Mwanakiji au Marato :)

G. Marato hivi hivi anapotea kwenye ulingo wa fani yake. kabla sijasikia naomba majibu haya. Alisomea wapi kule Ilala shamba, au times au ujuzi kazini? Pili; ameshapata ajira New Habari Corporation au?

Nakushauri Joji ukate rufaa kwa Mengi ila J. Mhavile abatilishe uamuzi wake mana yeye ndo aliekunyima kitumbua au fungulia mashitaka mahakamani ili tujue kilichotokea mambo ya wanasiasa waachie wenyewe. please
 
huyu marato amefukuzwa itv?

Hapana; alikuwa mwandishi wa kujitegemea ila ITV haitapokea tena taarifa zake. Nisahihisheni kama nimekosea mana sio HR wa IPP ila ndo nilivosikia. Yaani ni kama M.M. Mwanakijiji kule Tanzania Daima
 
Ninavyomfahamu Marato hana hata elimu ya sekondari. Kumtumia/kutumika kwa maslahi ya mtu/watu/kikundi cha watu ilikuwa ni kazi rahisi tu.
 
FMES

George Marato ni mpasha habari au reporter wa ITV kutokea Mkoa wa Mara.

Kama ameachishwa /kuajiriwa/kutokuajiriwa mie sijui.
 
naomba kusikia majibu ya Maratu plzzz.
naomba mwanakijiji usikimbie swali tafadhali, EF wanafadhiliwa na nani?

kama mtu uliangali taarifa ya habari siku hiyo utagundua kuwa ITV wanacheza politics tu: walicheza ili ripoti hiyo itoke baada ya uchaguzi, ili wasiingie gharama za kupeleka mwandishi mwingine kuripoti habari za uchaguzi, pia siku hiyo walipotangaza, walitumia kwanza habari iliyokuwa filed na maartu halafu ndio wakasema hawatatumia huduma zake, in any way, am sure waliamua kutotumia huduma za maratu kabla hawjarekodi habari yao ya saa mbili so ilikua inawezekana kutoitumia, badala ya kuitumia afu kutangaza kuwa hawako nae tena after two news items, kama wanarusha habari hizo zote live na ndio kwanza wametoka kufanya uamuzi huo!
halafu wakarudia tena kuitumia habari yake kwenye marudio ya taarifa ya habari ya saa nne/au nne na nusu, sasa kama walishatuambia hawatatumia habari zake tena kwenye habari ya saa mbili kwa nini waendelee kuitumia habari ile baadae?

naomba pia watu wanisaidie hapa; hivi hiyo editors forum inatoa wapi mamlaka yake?
na lingine ni kwamba kuna tetesi mtaani kuwa hiyo editors forum hata haijasajiliwa!
so naomba msaada kuidhibitisha au kutoidhibitisha tetesi hiyo.
 
Back
Top Bottom