Mvua ya Mawe Kariakoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvua ya Mawe Kariakoo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, Oct 18, 2008.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Risasi zarindima Kariakoo

  POLISI Dar es Salaam jana walilazimika kufyatua risasi hewani baada ya kutokea mtafaruku kati ya wafanyabiashara ndogondogo, mgambo wa jiji na maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) waliokwenda sokoni Kariakoo kuweka mtego wa kuwakamata mgambo wanaodaiwa kuwakamata machinga hao na kuwadai rushwa.

  Vurugu hizo zilitokea mtaa wa Gerezani majira ya saa tisa alasiri baada ya machinga kwenda Takukuru kupewa fedha za mtego ambazo zilimnasa mgambo ‘mtarajiwa.'

  Kwa mujibu wa mashuhuda, kabla ya polisi kuingilia kati machinga walirushiana mawe na mgambo wengine wa jiji ambao hawakukubali kuona mwenzao anachukuliwa na askari wa Takukuru. Vurugu hiyo ilisababisha magari kusimama kwa muda na watembea kwa miguu kujificha dhidi ya ‘mvua ya mawe.'

  Kabla ya tukio hilo inaelezwa kuwa machinga walikwenda ofisi za Takukuru ambako walipewa maofisa watatu waliokwenda nao Kariakoo na muda mfupi baadaye mgambo walifika eneo walilozoea kukamata na kupewa rushwa ndipo mambo yalipowageukia wakati wakiwanyang'anya wafanyabiashara hao bidhaa zao baada ya maofisa hao kuonyesha vitambulisho vyao na kuwaamuru kwenda Kituo cha Polisi Msimbazi.

  Wakati walipokuwa wakiwapeleka kituoni mgambo hao hawakukubali ndipo vurugu zilipoanza kati ya machinga na mgambo hali iliyosababisha mgambo waliokamatwa kupigwa na machinga kabla ya wenzao kuingilia kati na baadaye polisi kuja kutuliza ghasia.

  My take

  Watanzania wamechoshwa na kuonewa na mafisadi, mawe yalianzia Tarime Rev Mtikila na Sengodo Mvungi kwenye uchaguzi wa mbunge na Diwani. Mzee wa kaya naye alioona adha ya mawe Mbeya, waalimu nao hawako nyuma kwenye kurusha mawe pale walipoona kiongozi wao amewasaliti kwenye mgomo, mawe mengine yamerushwa na hao vijana wa kimachinga zidi ya waonevu wao Mgambo...haya mawe kwanini yasihamie 2010 kuwanyima hao wanaoleta hizi dhiki kwa wanatanzania...huu ni mwanzo mzuri

  Ushi
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  The Intifada has begun.Villagers in Mbeya, Pensioners and now petty traders.
   
 3. M

  Mukubwa Senior Member

  #3
  Oct 18, 2008
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 124
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Uitishwe mgomo wa inch nzima tuone itakuwaje
   
 4. Sober

  Sober JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2008
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 289
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  It was just a matter of time kabla haya hayajatokea.

  Ukishajenga tabaka la kuwa na wananchi wanaoadhibiwa na sheria na wengine walioko juu ya sheria, such civil disobedience was destined to happen at some point in time.

  JK akusanye nguvu na azifocus kwenye vitu vitatu. Ethical governance, ethical governance and ethical governance. Akifanya hivyo matatizo mengi yatapukutika yenyewe naturaly as indirect outcomes. Asione haya kusimamia ethical governance
  kwa kuogopa kukera watu fulani.

  Kwa kweli, kila ukijaribu kuifikiria nchi. Unashindwa kujua kwanini yeye haoni mzizi wa
  haya matatizo. Ina maana hata Ridhiwani haoni au hasikii hali za watu na kumnong'oneza baba yake. May be i am too naive to understand this.

  In the end the choice is his, maana imeshakua proven now kuwa washauri aliokuwa
  nao ni free riders tu, they only tell him anachotaka kukisikia, as long as pecks zao zipo
  palepale na hawakatwi majina kwenye safari za nje.
   
 5. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  In no time yatakuwa mambo ya Orange Rev ya kumtaka raisi aachie madaraka though somehow the case may be different.
  Once we have a strong political leader who is charimatic and has the power to bring people together this can be done.
  The country has spun out of control and thye president is doing absolutely nothing about this issue
  He is delegating powers to other people forgeting that its the people who put him where he is today.
  I
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kevo, hivi hatujamu-overwork huyu rais, kila kitu atatue yeye? Ataweza kweli? hana wasaidizi/ Wanafanya nini?
   
 7. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu una taarifa a person whom you have delegated powers to can not delegate powers to another?
  We say "delegatus non potest delegare".
  JK has overconfidently let his advisors play his role.Everything is loosing control.Wazee wanarusha mawe hazina,walimu wanagoma,wanafunzi na yeye mwenyewe anapigwa mawe.
  Dont you think its time huyu JK kidogo naye aonyeshe cheche zake?Huko hazina,kwa wlimu kulipwa vizuri na kadhalika?
  Maana ni jana tu mtu alikuwa ananiambia saa hivi ikuluni watu wanapiga saini tuu kwa niaba yake.Yaani ni wewe tu kumpigia simu unamwambia its a matter of urgency na ruksa unayo ya kupiga saini.
  No wonder Luhanjo na wenzake wanalala na kuamka na sheria mpya!
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Oct 18, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Wakuu,Respect kwa mjadala,

  Kwa kweli mimi naona hatua ambayo wananchi wamefikia ni nzuri.Hakuna mapinduzi yoyote yaliyokwisha wahi fanikiwa bila raia kufikia katika kiwango hiki cha hasira.Sasa tulichokosa tu ni kuunganisha nguvu na hasira za wananchi ili ku-mobilize watu wasimame pamoja mpaka kieleweke.


  Leo atokee mtu awaunganishe wanafunzi wa vyuo vikuu,walimu na wafanyakazi,wakulima na hata polisi,wafungwa na askari magereza,naamini huo mgomo ukiendelea wiki nzima hapo lazima watu waachie madaraka.

  We want our country back,Mr. President step down nooow!
   
 9. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  The present leadership is more transparent,allows freedom of expression in the real sense and as a result we see those having prolems coming forward to demostrate their feelings and portary their demands without fear unlike from other administrations.

  That is why we see teachers,students and more other people from different walks of life saying loudly and bluntly whatever they want to say.

  Previously like in Nyerere's ,Mwinyi's and even Mkapa's daysdays the rulers would not allow the people to stage demos as they do now.many would have ended up shot like rats! i recall those workers in Kilombero who were shot by the police,the Mwembechai killings,Pemba bloodshed,The Vijiji vya Ujamaa episodes and killings which made Ally Hassan Mwinyi to resign.

  The people feel safe now to throw stones!!!If this could be carried out in 2004 some people would have died by police shootings!

  The credit goes to JK who advocates more freedom and democracy to the people better than his predeccesors.
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Oct 18, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu Alnabady.

  Bravo for your comment.well said bro!
   
 11. H

  Herbert Member

  #11
  Oct 18, 2008
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Waheshimiwa This is what i have been waiting for a long time. I know it works it only need some excitation.

  Watanzania wengi tumezidi kukatwa kodi bila ya huruma hata kidogo na hatuoni hata chembe ya matumizi ya msingi ya fedha hizo zaidi ya kununulia ma VX, Safari zisizo na msingi na Semina lukuki zisizokua na matunda.

  I think if we decide to call upon all Tax Payers to stop the activities that generates this taxes just for hours, They will know we are serious and we mean something. Haiwezekani hela kama za EPA na nyingine ziliwe nasi tuendelee kukatwa daily bila kuona hatua za that zinachukuliwa.

  Naona kupitia neema za SMS za bure composers of Good SMS can create sothing to address this and we can stand together to challenge our goverment.

  Others have done and IT works just see this
   
 12. H

  Herbert Member

  #12
  Oct 18, 2008
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Waheshimiwa This is what i have been waiting for a long time. I know it works it only need some excitation.

  Watanzania wengi tumezidi kukatwa kodi bila ya huruma hata kidogo na hatuoni hata chembe ya matumizi ya msingi ya fedha hizo zaidi ya kununulia ma VX, Safari zisizo na msingi na Semina lukuki zisizokua na matunda.

  I think if we decide to call upon all Tax Payers to stop the activities that generates this taxes just for hours, They will know we are serious and we mean something. Haiwezekani hela kama za EPA na nyingine ziliwe nasi tuendelee kukatwa kodi daily bila hata kuona hatua za dhati zinachukuliwa.

  Naona kupitia neema za SMS za bure composers of Good SMS can create something to address this and we can stand together to challenge our government.

  Others have done and IT works just see this
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wapo watakaokufa bila kuwa na hatia
   
 14. H

  Herbert Member

  #14
  Oct 18, 2008
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Always wapo wanaokufa na hawana hatia daily. Just Imagine ajali za barabarani zinazotokea daily watu hawafi?

  Kufa kawaida ikitokea mtu kafa basi itakua ni bahati mbaya lakini tutamkumbuka.

  Mashujaa Daima Hukumbukwa na kuenziwa Ila waoga Sijui Inakuaje....
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Oct 18, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Je wale akina mama wanaokufa bila hatia pamoja na watoto wao kule mwananyamala wana hatia gani? Leo watu wajistareheshe na hela za walipa kodi,still mama na watoto au wadogo zetu wanazidi kupoteza maisha.

  Juzi kule Tabora wamekufa watoto,viwanja vilivyotengwa kwa ajili ya kujenga nyumba maalumu kwa ajili ya disko toto vimeuzwa na serikali na hela hazijulikani ziliingia katika akaunti. come on buddy,we better solve it once and for all.Enough is enough.


  Unajua hadi sisi kuwa taifa huru na la kujivunia kuna watu walipoteza maisha bila hatia? Kumbuka vita ya Kagera,kuna watu waliojitokeza kwenda kupigana ili kuilinda nchi yetu,walikua na ugomvi wowote na Amin?

  Lazima tuwe mstari wa mbele kuimarisha na kunyoosha dira ya taifa letu kwa jasho na damu ikiwezekana,hiyo ndiyo gharama ya uzalendo mkuu.
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Nakusifu kwamba umelitafakari hili kwa mtizamo tofauti na sisi wengine. Ila sikubaliani nawe kwamba JK yuko upande wetu. He never was!


  He does not advocate more freedom and democracy, but he would very much like you to believe so. Tizama anapokuja kuongea na umma, kauli anazotoa. Ni kichefu chefu every time!


  Tunaongozwa na chui aliyevaa ngozi ya Shakira.  .
   
 17. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2008
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Unajidanganya. hao uliowataja nao wangefikia kuwaacha mafisadi wezi wakitamba huku wananchi wakifungwa kwa kuiba kuku, pia hali ingefikia hivi. Hii sio credit kwa JK, na kama ndio kwa nini basi askari wamekivamia kijiji ili kukamata WANAOSHUKIWA kutupa mawe. Si wangeacha tu! Laiti wangefanya hivyo hata kwa WANAOSHUKIWA kwa EPA!
  Hii ni nguvu ya Wananchi inaanza kufanya kazi sio uhuru wala demokrasia kama unavyodai. Marehemu Causescu (kama ndio inavyoandikwa!) wa Romania, analifahamu hili vizuri!
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimependa sana hii chui kwenye ngozi wa Shakira mkuu shakira yupi huyo...ama ni huyu mkolombia wenye vitimbi Shakira Isabel Mebarak Ripoll
   
 19. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,438
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Wau... udhaifu wa kuongoza sasa umekuwa mafaniakio...........
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,780
  Likes Received: 83,135
  Trophy Points: 280
  At the same time JK also advocates more freedom to Mafisadi without doing anything to prosecute them and stop this nonsense of stealing billions of shillings from the Govt coffers and signing bogus contracts, and this is the main reason why people are fed up with JK's failures. Does he deserves any kudos? not in my opinion.
   
Loading...