M
Reaction score
225

Profile posts Latest activity Postings About

 • Dah...Pole sana mkuu wangu, dua zetu zipokelewe na Inshaalah Mwenyezi Mungu atakupa nguvu na subra mjawake hasa ktk wakatii huu mgumu.
  Wa Alaikum Assalam Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuh

  Ni kweli mkuu, nimefiwa na Mama mzazi, siku ya tarehe 18 na tumrzika same day.

  Utanisamehe maana sijaingia JF tangia siku niliotoa taarifa ya msiba, nilikuwa kwenye maombolezi ya siku tatu za msiba na Alhamdulillah tumemaliza salama.

  Shukran kaka.
  Ameshaingia Dar, sijaonana nae niliongea nae kwa simu tu, nipo nje ya Dar kwa sasa, nategemea kwenda kumuona baada ya siku mbili. Ntakujulisha.
  Poleni sana Mkuu kwa msiba. Huo ni msiba wetu sote na kubwa tunaloweza kumfanyia marhuma ni kumuombea dua ili Mola amsameh makosa yake na ampokee katika moja ya pepo zake.


  Kweli Mkuu sikusoma tarehe lakini nilivutiwa na jina maana haya kwetu ni mengi na ni jina zuri sana.

  Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na familia.
  Hongera Mkuu kwa kupata mtoto wa kike. Wa kushukuriwa ni Mungu kwa kukujaalia haina uhusiano na nguvu ulizonazo.

  Omba sana ubarikiwe maana kuna wengi wenye nguvu hawana mtoto.

  Nakusalimia tu Mkuu
  Kijana,
  Salama huko? Sijakusikia miaka nenda rudi. Mama na mtoto wanaendeleaje? Usipotee sana.
  Nimekutumia request kwenye PM naona ume accept nimepata notification. Thanks.
  Mambo poa sana....ningependa tu kuwafahamisha nimepata mtoto wa kike jina anaitwa Bi. Salma Muhindi Mkandara...bado mzee mzima nadai sana, kumbe nguvu zipo bila viagra..
  Hello Mkandara,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  Swahiba zangu nyote jamani sikuu njema, tuombeane uzima maanake wengine hapa ndio tupo ktk kumi la mwisho(life expectancy ya mtu mweusi)!...haaa haaa haaa!
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top