Weblog ya CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weblog ya CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by azirben, Oct 16, 2008.

 1. a

  azirben Member

  #1
  Oct 16, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana wa Jamii forums.

  Katika lengo letu la kuwaelimisha wananchi tumeanzisha weblog http://www.hakinaumma.wordpress.com. Karibuni sana kutembelea weblog hiyo/
   
 2. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ahsanteni ila naomba awali kuli mtueleze kwanini chama chenu kinahusiswa na jazba, hasira na vurumai .. sasa wengine wanavuka mipaka wanahusisha tabia hizo na dini .. which in fact inaniudhi .. badilikeni please

  mm naima sina chama
   
 3. C

  Chuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CUF badilikeni.....mnaanzisha Blog wakati mnatakiwa muiendeleze website...?

  Please waambie wahusika wasimamie official website...Blog wawaache waandishi wasio na ofisi maalum....

  naima nafikiri hizo ulizoziweka CUF hawawezi kujibu..its like Chadema walivyosimama kidete Tarime....mtu aje aseme chadema watu wa Vurugu...Ktk Kuitafuta Haki lazima watu wawe tayari for any cost!!!!
   
Loading...