kutokana na watu humu ndani kudai kwamba mitihani imekuwa inavuja kila mwaka na kilichobadilika ni aina ya teknolojia inayotumika kuivujisha,nimeamua kuweka mtihani Historia wa taifa wa kidato cha...
Siku ya Jumatatu ya juzi Magazeti ya Bongo yalisheheni kwa habari za Matokeo ya Uchaguzi wa Tarime yaliyokuwa yakisubiriwa kwa hamu na Watanzania.
Nilifuatilia kupitia kipindi cha "Watanzania...
Habari zinazotangazwa na TBC1 hivi sasa zinaeleza kuwa mgombea wa ubunge wa CCM huko tarime, Bwana Kangoye amekataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Ubunge yaliyompa ushindi mgombea wa Chademe...
Na Charles Mwakipesile, Ileje
WASAIDIZI wa Rais Jakaya Kikwete jana walinurika kufa katika ajali Mbaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka gurudumu la nyuma kushoto na gari hilo...
Sasa hivi Serikali ya Marekani inataifisha Mabenki sita ambayo yalikuwa yanamilikiwa na watu binafsi. Serikali imelazimika kutaifisha mabenki hayo ili kuokoa uchumi wa nchi usiendelee kudidimia ...
Nipo na glasi yangu ya shurbati nikiangalia TBC1 wakileta live mambo ya kuzima mwenge kutoka mkwakwani Tanga. Kwa kuwa ninaweza kuwashushia, haya ndiyo yanayojiri hivi sasa.
Mapema, kulikuwa na...
Kwa kuwa naamini kuwa; Tunaweza kutofautiana katika mitizamo ya kisiasa lakini sote ni sharti tuishi na kutumika kwa ajili ya MAendeleo ya watu na Taifa kwa ujumla.
Na kwa vile Chama chetu cha...
Hoja yangu hapa ni kuwa kutokana na mambo ya International Relations in the era of Globalization serikali zote duniani zimenunuliwa au msamiati mzuri ni kuwa hazina tena nguvu za ku act katika...
Date::10/13/2008
Profesa Baregu: CCM hamna haki miliki ya nchi
Na Claud Mshana
Mwananchi
MHADHIRI katika Idara ya Siasa na Uongozi wa Umma kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa...
Date::10/13/2008
TRA yazua sokomoko kikao cha Muungano
Na Salma Said, Zanzibar
Mwananchi
VIONGOZI wakuu wa pande mbili za Muungano waliokutana juzi visiwani Zanzibar kwa lengo la...
TRA excels in revenue collection, says JK
JAPHET SANGA in Ileje
Daily News; Sunday,October 12, 2008 @20:03
President Jakaya Kikwete has announced that Tanzania Revenue Authority (TRA) last...
Govt faces political dilemma over planned teachers' strike
SEBASTIAN MRINDOKO
THIS DAY
Dar es Salaam
GOVERNMENT is facing a serious political dilemma in the midst of a nationwide...
Katika hatua nyingine ya mlolongo wa matukio ya kushangaza kumhusu Mtikila,Mchungaji huyo amekanusha waraka uliosomwa ITV kuwa haukuwa wake.
Hata hivyo chakushangaza zaidi Mtikila amemtuhumu...
Wiki iliyopita Whaahri wa magazeti mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sakini Datoo walitutangazia umma kupitia vituo tofauti vya Televisheni kuwa Jumapili 14 Oktoba 2008 watatoa hadharani...
Serikali yaiwakia MwanaHalisi
Maulid Ahmed
Daily News; Wednesday,October 08, 2008 @20:03
Serikali imelitaka gazeti la MwanaHalisi kutoa sababu za kujitetea ili lisichukuliwe hatua kutokana...
Dar won't give land to outsiders
By JOINT REPORT
THE EAST AFRICAN
Posted Sunday, October 12 2008 at 11:40
The East African Community partner states have for the third time suspended...
$20b capital fleeing Africa yearly - report
Road construction underway near Naivasha. The report asks, ‘Why does so much money flow from poor countries to rich ones, when, for both...
CCM wadhibitiwa Arusha kwa kuandamana bila kibali
John Mhala, Arusha
Daily News; Saturday,October 11, 2008 @20:09
Viongozi kadhaa wa CCM Wilaya na Mkoa wa Arusha juzi jioni walidhibitiwa na...
Habari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile...
Date::10/11/2008
Uchakavu wa mabehewa, hujuma vyasababisha usafiri TRL vurugu tupu
Usafiri wa reli ya kati baada ya kuwa mikononi mwa wawekezaji toka India bado umekuwa wa mashaka has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.