Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kwanza kabisa nawapongeza sana wana CCM kwa ukomavu wa kisiasa kwa kuweza safari hii kuchagua mchele na pumba kuwekwa kando. Nimesikia matokeo mbalimbali yanatia moyo, nafikiri safari hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Rev chriss ama christopher mtikila kwa walioangalia ITV Kwa huzuni kubwa jamaa wakiwa na defender wamemnyaka na suti yake town na mikanjanaja yake kwenye mabegi na kuelekea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
This is one of the report that has been circulated for sometime now by Lusinde's camp with incredible help from TISS as I have noted in my previous post. This reporting has unfortunately been...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Linganisha na hawa hapa, chini ndipo utakapojua nani walitayarishwa kwa ajili ya picha na ni nani wlihudhuria tukio kwa kuvutiwa na sera. Nimeanza kupata matumaini.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, kichenchele naomba mnijuze juu ya hili jambo kisheria na kama katiba yetu ya Jamhuri ya muungano wa Tz imeligusia basi itakuwa ni kauzembe kangu kutoipitia katiba hii na kufahamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Dk. Slaa si tishio kwa CCM ila ni tishio kwa mtu binafsi…hawezi kuwa tishio kwa chama. Nani alikuwa maarufu kama Mrema. "Santuri mpya ikitoka itachezwa katika nyumba mbalimbali lakini baada...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
There is suspicion of something very sinister involving these three news outlets - is it some unholy alliance formed for the sole purpose of misleading the electorate and denying them information...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
TINGATINGA WEEE!!LIAPOGEUKA KUWA POWERTILA!!!-------JOHN S.MARECELLA:ballchain::A S thumbs_down:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
heshima nyingi kwako Dr Slaa,wewe ni muokozi wetu.Sisi wafanyakazi tunategemea kucheka baada ya hii tarehe 30.10.2010.Tunategemea kupata maisha bora ambayo tuliya ota kwa miaka 5 sasa.Wale ambao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaonya watanzania kuwa makini: - Nyingi zinatolewa na vyuo visivyotambulika wakiwalenga zaidi watu maarufu wakiwamo marais wa nchi za kiafrika - Mara nyingi zinatolewa kwa manufaa ya vyuo husika...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
waziri mkuu katoa taarifa bungeni sasa hivi kila kitu ni siasa na michakato inaendelea... hili ndio tunalotitaka?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimefuatilia thread ya matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM, nikagundua kama alivyodokeza ndugu Kasheshe kuwa uletaji wa matokeo hauko user friendly. Hii ni kwenye uchaguzi ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabongo Hawana Nyongo, CCM itashinda Tena! WIKI chache zilizopita zilikuwa ni wiki za watu kuchukua fomu za kugombea Urais wa Tanzania. Baadhi ya watu wamejitokeza kuchukua fomu. Hiyo yote ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliwasiliana nami kwa sms alfajiri ya leo akiniambia kuwa ameshinda nafasi ya viti maalumu Singida.... Nimejaribu kumtafuta anipe details lakini simu yake unreachable. Kama tuna mdau yeyote...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimemsikia m/kiti wa chama chetu mafisadi akiwa usia wajumbe wa nyumba kumi kupiga kampeni kwa nguvu zote ili CHAMA kishinde uchaguzi wa 31 Oct. Hivi dhana hii ya chagua CHAMA badala ya mgombea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika stori ya "Marando ahamia Chadema" iliyoko Tanzania Daima ya 23 Jul 2010, Marando amewashambulia wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa akiwaita "wadandia hoja" na kwamba lengo lao ni...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna wengi wamesema kwamba kule vijijini watu hawaelewi,wao ni kulewa mapilau,na kutotumia kura zao ipasavyo.kwa nini wenye kutaka maendeleo ya hii nchi,wasitengenze documentaries,au movies to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR DK. AMANI ABEID KARUME HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR DK. AMANI ABEID KARUME SALAMU ZA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimesikia mara kwa mara tena kwa lugha ya dharau ya aina fulani kuwa "Watanzania hawaju" na kuwa "Huko kijijini watu hawaelewi" na wengine wamefikia mahali pa kudai kuwa "wananchi hawana elimu ya...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…