Dr Slaa,wafanyakazi tunasubiri kucheka baada ya oct 31,2010.

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
heshima nyingi kwako Dr Slaa,wewe ni muokozi wetu.Sisi wafanyakazi tunategemea kucheka baada ya hii tarehe 30.10.2010.Tunategemea kupata maisha bora ambayo tuliya ota kwa miaka 5 sasa.Wale ambao wako ughaibuni wakibeba boksi nao wana matumaini ya kurudi na kucheka nasi,tujenge taifa letu pamoja.Siyo aibu kila siku ukienda benki,yule cahsier anakuangalia mara mbili baada ya wewe kuomba balance kwa nguvu zako zote,mwisho kwenye account kuna hela za kununua karanga tu.Tumesha ishi maisha ya jadi,sasa tunataka tuishi maisha ya ki binadamu.Mfano madaktari wanaishi maisha magumu sana,kazi yao ni ya hatari,laikin mshahara ni zero compared to the work done.Ndio maana wengi wanakimbia kule Botswana.Kuna jamaa kamaliza masters ya medicine,kufanya kazi bongo for 1 year ameona maisha ni ya taabani kweli,ana amua aache kazi hapo serikalini,na arudi zake hapo kwa wabeba boksi,kasema hiiyo inalipa zaidi,kuliko kuhatarisha maisha na hiyo field.Ewe Dr Slaa,sisi tupo nyuma yako,na wewe ndio utakuwa muokozi wetu.Wafanyakazi oyeeeeee...tuvumilie tu miezi mitatu,atlast mvumilivu hula mbivu,na sisi tuta kula hiyo mbivu.God Bless you Dr Slaa,You are the Light,the road to our pursuit of hapiness.Ameen.
 
Yote unayotarajia yamekwishathibitika kuwezekana pale tu unapobana kwenye nafasi yako na kutimiza wajibu.

Kwa Hakika, Tutashinda!
 
Issue sio kusubiri kicheko baada ya 31.10.2010,bali tunapaswa kusapoti harakati hizi kwa kumpigia kura ili ASHINDE!
 
Issue sio kusubiri kicheko baada ya 31.10.2010,bali tunapaswa kusapoti harakati hizi kwa kumpigia kura ili ASHINDE!

nadhani kitu cha Muhimu ni kampeni ya nyumba kwa nyumba, na wala sio kampeni ya kuhitaji nguvu sana, JK amechemsha na kila raia ni shahidi wa hilo, ukifanikiwa kuhamasisha hata watu kumi tu si haba
 
Kituko umenena, hapa inatakiwa saizi tujitoe kwa nguvu zote! tuhahakikishe tunamwelewesha kila mtu, tembea kila sehemu mida y ajioni baada ya kazi watu kibao wanakaa kijiweni, jamani hata kwenye daladala kampeni muhimu, ukiwa ndani, we chokonoa tu! Mfano unaweza kusema Jamani mwaka huu inabidi watz tuache uoga, tumpe kura Dr Slaa, najua watu kibao wataanza kupayuka. Mi nimejaribu mara kibao toka banana kwenda posta, saa nyingine watu wanasubiri kulianzisha tu!

We must commit ourselves for this Election. Hakuna kulala.
 
kituko umenena, hapa inatakiwa saizi tujitoe kwa nguvu zote! Tuhahakikishe tunamwelewesha kila mtu, tembea kila sehemu mida y ajioni baada ya kazi watu kibao wanakaa kijiweni, jamani hata kwenye daladala kampeni muhimu, ukiwa ndani, we chokonoa tu! Mfano unaweza kusema jamani mwaka huu inabidi watz tuache uoga, tumpe kura dr slaa, najua watu kibao wataanza kupayuka. Mi nimejaribu mara kibao toka banana kwenda posta, saa nyingine watu wanasubiri kulianzisha tu!

We must commit ourselves for this election. Hakuna kulala.

true that
 
Back
Top Bottom