Is this possible?

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
Kuna wengi wamesema kwamba kule vijijini watu hawaelewi,wao ni kulewa mapilau,na kutotumia kura zao ipasavyo.kwa nini wenye kutaka maendeleo ya hii nchi,wasitengenze documentaries,au movies to show these people the difference of life between the leaders,how they eat,how big cars they drive,and to compare the hospital the villagers have,the school they have and than make them decide how to use their valuable votes wisely.
 
Hii, naiunga mkono.
Wana JF tujaribu kuwaelimisha wananchi wa vijijini. mfano tukitumia takwimu nzuri kwa mfano. Shangingi moja la waziri, pesa ya kulinunua linaweza kujenga zahanati ngapi, au shule ngapi
 
Huko vijijini si ndio wanawaondoa vigogo wengi kama tunavyoona kwenya kura za maoni? wanaelewa wasiowaletea maendeleo labda ni kuwaelimisha sio dhambi kutoipigia kura CCM na nchi haitaingia vitani wakichagua wapinzani.
 
Haya mambo yote yanahitaji hela. Wengi wetu hapa jamii forum hata internet yenyewe ni mbide kwenda kulipa tshs 500 for nusu saa ktk cafe. Na walio na huo uwezo ndo wanaokula nchi. I think we can make it but this is a difficult strategies. Njia pekee ambayo naona itasaidia ni hiki kizazi kipya kinachochipukia. Bila shaka hiki kitatukomboa. Hata hawa wa shule za kata akimaliza f4 na akajua sababu iliyomfanya akose walimu/vitabu na kufeli hatakuwa na cha salia mtume. this is my suggestion, hope we will receive more intelgent suggestions.
 
Back
Top Bottom