Jamani wapendwa wana JF wenzangu, Nimedata? within one month 3 cars within predent's office related to him straight have been involved in scandals of tyres and dirty fuel. Who is iresponsible to...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
UKUMBI mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, unaotumika kwa shughuli za Bunge utavunjwa na kusukwa upya ili kuruhusu utengenezaji wa viti vya kisasa vitakavyofungwa...
Ndugu John Mnyika,naandika barua hii kuwakilisha mawazo na vilio vya wana Ubungo kuhusu matatizo ya miundombinu hususani ubovu wa barabara zao.
Wana Ubungo wengi wamenituma niwasiliane nawe ili...
Yaani kila inachofanya CCM bwana Marmo anakibariki na kuwa ni Sehemu ya Maisha au Kanuni za Uchaguzi, kaaazi Kweli kweli
Marmo aruhusu vyama vya siasa kampeni ya nyumba kwa nyumba
Na Muhibu...
Kwa yeyote menye wasifu wa bwana Christopher Winea Mushi anayetaka ubunge jimbo la hai na ambae amechaguliwa kuwa kamanda wa vijana wilaya ya Hai please, ili tuweze kumfahamu kama anastahili...
Hodi hodi naingia, mara ya kwanza nachangia
roho yangu yafurahia , jamii forum kunukia
ila naumia kwa mada hii nachangia.
tunawaita wasomi, na macho yetu yapo kwao
tunajisisifu nao, kumbe...
Je watanzania wanapenda kudanganywa?
Je watanzania ni wavivu kweli wa kufikiri?
Je watanzania hawana uwezo wa tenganisha ukweli na uwongo?
Nimesukumwa na hasira kuleta maswali haya, baada ya...
Jamani mimi mwenzenu napata shida kuhusu majukumu ya Wabunge tunaowachagua kwenye majimbo yetu.
Asilimia kubwa ya wananchi wanasema Mbunge wetu hakutufanyia hivi, mfano hakutujengea shule...
Bajeti ya magari ya Ikulu yapaa
Source: Raiamwema
BAJETI ya Serikali ilipitishwa juzi jioni huku matumizi kadhaa, yakiwamo ya Ikulu, yakiwa yamepanda kutoka Sh. bilioni 7.23 hadi bilioni 8.8...
17th June 2010
Kambi ya Upinzani Bungeni imeitaka serikali kuacha visingizio kuhusu hali ya maisha inayozidi kuwa mbaya miongoni mwa wananchi wa kawaida kila kukicha, badala yake itafute mbinu...
If there is another Golden Opportunity for a true Intifada to the politics of Tanzania, then this is the perfect time for it.
As Kikwete's Government is presenting its 5th budget and all...
Upande wa Serikali katika rufaa ya kesi ya kuruhusu mgombea binafsi umeshinda katika hukumu iliyosomwa leo na Mahakama ya Rufaa iliyokuwa inasikilizwa na jopo la majaji 7.
More to follow
Ilikuwa kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Anaanza kwa kujibu swali la anaelezea vipi vitendo vya watoto kukatisha masomo na kuwa barabarani kuombaomba? Ni vitu gani vinasababisha hali hiyo?
Leo Chama cha Chadema jimbo la Bukoba mjini lilikutanisha viongozi wake ili kuwapa elimu ya sheria mpya za uchaguzi na mambo mengine yahusuyo uchaguzi. Ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya uchaguzi...
Asalaam Aleykum,
Taarifa nilizonazo ni kuwa TFF walienda benki ya NMB kuomba mkopo kwa njia ya overdraft ili waweze kuwalipa Brazil appearance fees za kuja Tanzania. Sina uhakika na exact...
Pamoja na madudu yote yanayotokea na kuhatarisha usalama sijaona hata gazeti au chombo chochote cha habari kinacholeta majibu ya RO kuelezea uzembe na matukio haya mbalimbali. Haiwezekani matukio...
Pamoja na baadhi ya watu kuanza kuamini kwamba Rostam Aziz amepungua nguvu na kwamba sasa hana uwezo wa kupanga safu katika uchaguzi wa mwaka huu kama alivyofanya huko nyuma, UKWELI ni kwamba ana...
Nimefedheheshwa na kitendo cha kiongozi wa juu wa jeshi la polisi kutangaza nia zao za ubunge kwa tiketi ya CCM.
Tibaigana, na jana nikachoka kusikia kamanda wa trafiki Kombe.
Hivi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.