Watanzania tutabadilika lini na kuachana na dhana hii,.,,.,..?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tutabadilika lini na kuachana na dhana hii,.,,.,..??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kisoda2, Aug 2, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Nimemsikia m/kiti wa chama chetu mafisadi akiwa usia wajumbe wa nyumba kumi kupiga kampeni kwa nguvu zote ili CHAMA kishinde uchaguzi wa 31 Oct.
  Hivi dhana hii ya chagua CHAMA badala ya mgombea itabadilika lini?
  Chama kwa mtizamo wangu hakina mantiki yeyote iwapo mgombea anayekiwakilisha akiwa hafai.
  Sasa tunapoambiwa chagu CHAMA hapa naona kuna mushkeli haswaaaa.

  Wadau tuliangalie hili ili tuondokane na fikra potufu zinazoletwa na cmc chetu mafisadi,ili tupate viongozi bora na si bora kiongozi.:frusty:
   
Loading...