The Unholy Alliance - Daily News, Habari Corp & Issa Michuzi, whatz up? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Unholy Alliance - Daily News, Habari Corp & Issa Michuzi, whatz up?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mag3, Jul 30, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  There is suspicion of something very sinister involving these three news outlets - is it some unholy alliance formed for the sole purpose of misleading the electorate and denying them information ? I really do hope not but then do we really have to look far to know the mastermind - the evil force behind it all, the evil force that wont stop at anything to get what it wants !
  There is only one such force in Tanzania, guess who ?
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Just ignore them and you will be happy!
   
 3. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Ignore them and be happy ? What happiness are you talking about ? Do you know whose interests they are advancing ? Can you ignore that cancer that is eating into your body or that tick that is getting fatter and fatter by sucking the life out of you. There are things I just wouldnt ignore unless I was dead - like who really is Isa Michuzi and who really is financing what he calls Globu ya Jamii !

  Who can have the guts to completely give a blackout to any news covering the Presidential candidate like Dr. Slaa ? I know for sure that the Isa Michuzi of old does not, so who is this new Isa Michuzi of now and who is really pulling the strings that control his twittering ?

  That he can cover events like this....

  DSC05437.JPG

  MGOMBEA ANAYEOMBA KUTEULIWA
  NA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) KUGOMBEA
  KATIKA JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI MKOANI IRINGA,
  DANFORD MPUMILWA AKIMWAGA SERA ZAKE
  KATIKA KIJIJI CHA UTEWELE WILAYANI HUMO.


  .......and completely ignore this
  Main(14).jpg

  Mgombea wa nafasi ya rais kupitia
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
  Dk. Wilbrod Slaa, akihutubia maelefu ya wakazi
  wa mji wa Mbulu na vitongoji vyake,
  mkoani Manyara, katika mkutano

  Daily News, New Habari Corp. & Isa Michuzi have a hidden agenda and it is not a healthy one for this country. I know it is a CCM agenda and they are bound to fail.

  Are the following the people who decide
  what is newsworthy at the Daily News ?
  Who are these people and why ?


  07_10_504uuk.jpg


  We have to fight these people with all we got and surely their days are numbered.
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Issa Michuzi ni hawa ma-oppotunists njaa kali waliyo tayari kufanya lolote ili wapate mkate wa kila siku. Watu kama hawa wako kila mahali. Hawa ni jamii ya wale waandishi wa sheria, mafarisayo na masadukayo walioelezewa kwenye bible. Wana vipaji vya kuwaingia watu wanapoona kuna ulaji na hawakawii kukukimbia unapokwa huna kitu. Wako wengi....Shy Rose Banji, Don King (yule promoter wa ngumi) ...list ni ndefu
   
 5. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Kwani si tumeshaambiwa, serikali imetekwa na mafisadi? Ndio hao hao magendaeka wanaotoa maelekezo nini kiandikwe kwenye vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma, au serikali. Pia Habari corporation hii ya sasa si mchezo ati. Mpaka akina Ulimwengu na Mbwambo wakabwaga manyanga, ujue hali ni mbaya.
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Hivi vyombo ndivyo vilivyotumika kuwachafua vibaya watu wenye akili kama kina Salim A. Salim wakati wa kumleta Kikwete na sasa vimejiweka tayari kwa kazi ile ile. Kila mzalendo kweli atatupwa nje ili ndani ya system yabaki mafisadi tu yaliyobinafsiwa ofisi ya Magogoni
   
 7. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Na hapa kajitokeza wazi wazi kwa ngozi yake kamili baada ya kuona jahazi linakwenda mrama - tazameni Ankal anavyompigia debe mshikaji.  Sijui hiyo CD inazungumziwa kila kona ya dunia gani - hii yetu ? Kweli ukipenda chongo utaita kengeza !

  Dr. W. P. Slaa atisha kikweli kweli !
   
 8. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2010
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Na wewe nawe kila kukicha Michuzi hivi Michuzi vile, acha kuigeuza Jf anti Michuzi. Kama unaona anapendelea CCM na hampi coverage tosha Slaa wako upo huru na ww kuanzisha blogu yako na ujaze habari za Slaa tu. Hapa usitugombanishe na Michuzi na utitiri wako wa thread tafadhali
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Issa Michuzi na Habari corp sio vymbo vya umma . wana uhuru wa kuonyesha upendeleo. Labda Daily News ingawa na wenyewe ukweli Government of the day ndiye Boss.
   
 10. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana kwa jibu lako Michuzi..oops kanda2 na nafurahi ujumbe umefika.

  Kwa kuwa si vyombo vya Umma na vinaonyesha upendeleo basi visidai vinginevyo na visipotoshe makusudi. Kuhusu Issa Michuzi subiri tu ukweli unatafutwa na data zakusanywa, si kila kinachong'aa ni cheupe !
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nakuambia hata vingekuwa vyombo vya umma lazima viwe royal kwa government of the day kwa kiasi fulani. Sasa issamichuzi unamlaumu nini? ile ni blog yake binafsi na pili yeye ni mfanyakazi tena ofisa wa serikali na tatu ni mwana CCM.

  Hata kama ungekuwa wewe uko kwenye position ya michuzi lazima utakuwa biased at some degree.
  Huwezi kujua mapungufu ya CHADEMA kwa kusoma Tanzania Daima pekee. Wala Huwezi kuona maoni ya Ufisadi wa RA kwenye RAI au Ufisadi wa R. Mengi kwenye This Day. Lakini vyote hivi vinajinadi ni vyombo makini na huru .

  "shigongo amtesa Dk slaa" hiyo nayo ni front news/udaku ya magazeti ya udaku ya mheshimiwa mtarajiwa 1ja. mbona hujamsema??? tena huyu ndo anapotosha . Anamtesa dk slaa wanagombea jimbo 1ja? Si bora hata hao wasitoa habari kabisa.
   
 12. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kuna watu ustawi wao ni CCM kuwepo madarakani ndio maana wako tayari kuvua nguo hadharani kama kitendo hicho kitasaidia CCM kupata umaarufu.

  Akili zao zimeharibiwa vya kutosha sijui kwani walienda shule kama elimu yao haisaidii kujua mema na ufisadi.

  Ningeshauri tuwaorodheshe wote wenye kupotosha ukweli, mfano

  1. MS
  2.
   
 13. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Umeanza tena kuonyesha njaa zako baada ya kuona kifaulongo wako anaelemewa ehe! Na nakwambia kipindi hiki ataanguka majukwaani mara saba! ... cha moto mtakiona kutoka kwa Slaa...na wazalendo halisi wa Tanzania mwaka huu
   
 14. Mtu66

  Mtu66 Senior Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama TIDO na upeo wake wote..anawatumikia MAFISADI..tusimmwoneeee Michuzi jamani.... Tuna OMBWE la uongozi Tanzania...Let us VOTE them out now...
   
 15. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Michuzi ni propaganda wa CCM na serikali.Hizo trip zote nani anamlipia?
   
 16. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Kwani wewe kada wa Mchuzi?, yey alikuwa anatoa maoni yake, na ndo maana watu tunachangia hoja, kama wewe umekasirika si basi uende huko kwa Michuzi----------jina lenyewe Michuzi, si makombo hayo?
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu... naomba nikueleze wazi kwamba haijalishi mtu anakuja na threads ngapi za mtu mmoja au hoja moja ilimradi kwamba zina ujumbe tosha...

  i look at repeating one topic as pressing towards yielding na dhiyo maana tuna hoja ya Tanzania bila ukimwi au malaria no more

  |in addition, JF is bigger than one member na kwa wewe kusema kwamba jf ina watu na mambo mengi, huwezi sema kwamba mtoa hoja mmoja anaweza kusababisha JF kuwa anti michuzi

  Michuzi needs to be given feedback and JF is one of the conduit... he is a good photographer and thats it, his affiliation to a certain group may not healthy

  Acidic post
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mimi naona blogu yake ni ya mtu anayetumika zaidi kuwasilisha hoja za watu fulani ingawa he is full of info.... lakini maybe si kosa lake kwani hatulazimiki kumsoma kila siku
   
 19. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Afadhali umemmsema huyu wa Buchosa, maana wiki nzima anapiga kampeni kwenye magazeti yake. Siku hizi ukitaka kusoma magazeti TZ, habari moja isome magazeti 3 tofauti ndiyo utajua ukweli.
   
 20. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  MICHUZI, MS, TAMBWE HIZZA, DR. KABOROU, LYATONGA MREMA wote ni vin'gamuzi vya CCM aka wajipendekezaji tu hawana jipya wanatafuta kufadhiliwa kwa pilau na pombe kama waisraeli utumwani Misri.
   
Loading...