SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,902
Wanasiasa wetu wengi "mazuzu". Hata wakipewa vichupa wanadhani ni almasi!
ila ni fedheha sana kutumia degree ya kupewa kwenye utambulisho wako..kwa Dr Jakaya..haina maana yoyote kwani hadhi ya uraisi ni kubwa kuliko hiyoo fake degree..
Ghana raisi wao ni Prof ila hajitambulishi kwa cheo hichoo..media zetu nazishangaa sanaa kumpamba muungwana kwa hiyoo degree ya kupewaa...
...kama yule Reinfred Masako wa ITV...anapenda sana hii Dr Jakaya Mrisho Kiwete...sijui angombea ubunge na yeye
Hawa ndugu zetu wao wanaona sifa kuitwa DR.....ila ni fedheha sana kutumia degree ya kupewa kwenye utambulisho wako..kwa Dr Jakaya..haina maana yoyote kwani hadhi ya uraisi ni kubwa kuliko hiyoo fake degree..
Ghana raisi wao ni Prof ila hajitambulishi kwa cheo hichoo..media zetu nazishangaa sanaa kumpamba muungwana kwa hiyoo degree ya kupewaa...
Naona kuna wengine zinawaongezea waumini! Au labda ni mchanganyiko na siasa. Lakini kwa vyovyote vile, zinadhalilisha sana taaluma!
Wazitumia majukwaani tu kama alivyokuwa Dr Remmy........wasiombee kazi wala kura