Vipi kuhusu jambo hili

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Habari wana JF, kichenchele naomba mnijuze juu ya hili jambo kisheria na kama katiba yetu ya Jamhuri ya muungano wa Tz imeligusia basi itakuwa ni kauzembe kangu kutoipitia katiba hii na kufahamu juu ya jambo hili. Hivi ikitokea Tume ya Taifa ya uchaguzi hasa mtangaza matokeo ya wagombea kiti cha Urais akakosea badala ya kumtangaza mshindi aliyeshinda kwa wingi wa kura, akajikuta kimakosa anautangazia Umma wetu mshindi mwenye kura ndogo na watu wanaosikiliza au kutazama vyombo vya habari wakawa wameelewa hivyo japo kwa dk kadhaa, na muda mfupi huyu mtoa matokea akagunduwa alipitiwa tu kibinadamu na hatimaye kumtangaza mshindi halali, je sheria inasemaje juu ya hili jambo?
 
kumbuka ilivyotokea Zanzibar dtv walitangaza kuwa sharif kashinda fuatilia kilichotokea baada ya hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom