Marando ashambulia Wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marando ashambulia Wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SuperNgekewa, Jul 25, 2010.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika stori ya "Marando ahamia Chadema" iliyoko Tanzania Daima ya 23 Jul 2010, Marando amewashambulia wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa akiwaita "wadandia hoja" na kwamba lengo lao ni kutafuta umaarufu ndani ya jamii na kulalama kwamba walizua mtafaruku ndani ya CCM na kuhatarisha umoja wa CCM. Wabunge aliowashambulia ni pamoja na Fred Mpendazoe wa Kishapu, Dr Harrison Mwakyembe (Kyela), Lucas Selelii (Nzega), James Lembeli (Kahama) na Spika wa Bunge, Samuel Sitta (Urambo Mashariki), wabunge ambao ni kati ya wabunge walioonyesha uzalendo na ujasiri mkubwa kwa kuyatetea maslahi ya taifa dhidi ya wahujumu nchi hadi wengine wakakoswakoswa kuuwawa.

  Fisi hawezi kubadili madoa yake. Japo ayafiche kwa ngozi ya kondoo yataonekana kwenye miguu au mkia au masikio. Kama bado kuna kipofu ambaye haoni malengo ya Marando kuhamia CHADEMA, huyo ni basi tena.
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo ameshaanza ana uharibifu???, kuwe na taratibu za chama kuriport kwenye media
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  HUYO NI MTU WA USALAMA NA SHERIA HAIRUHURU MTU ALIYE KWENYE KAZI KAMA HIZO (POLICE, WANAJESHI NK) KUWA MEMBER WA POLITICAL PARTY SASA HUYU JAMAA ANAENDA CHADEMA KUFANYA NINI?, AU NDIO KWENDA KUKIUA KAMA NCCr -mAGEUZI?
   
 4. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Afisa usalama wa wilaya ya Geita ametajwa kuchukuwa fomu za kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM. Ina maana ni mwanachama wa CCM. Sijui ni utawala gani huu lakini nasubiri nione atakapokuwa ameshinda kuwa mgombea, upinzani utachukuwa hatua gani. Pia akishindwa nitataka kuona kama ataendelea na kazi yake.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Heading ya topic yako haiko sahihi. Ingepasa kuwa: Marando ashambulia Wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa." Mods badilisha hii -- bila shaka imepotoshwa nadhani kimakusudi tu!
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kama kweli marando kasema maneno haya basi kashaanza kuchanganya habari kama hajasema maneno haya wewe ni au source ya habari hii ni wanafiki na manataka kuwavuruga watanzania.
   
 7. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Upuuuzi mtupu!
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Jul 25, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Source please!
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyu Superngekewa na magazeti ya Rostum hawana tofauti. Katika makala ya Mtanzania Daima anayodai iliyoripoti Marando kujiunga na CHADEMA hakuna taaarifa kuwa aliwashambulia wabunge "wapiganaji" wa CCM.
   
 10. R

  Ramos JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Every little thing should taken with care. Naamini ni muhimu hata kama hizi taarifa ni za uwongo, basi huo uongo nao usiachwe bila kufuatiliwa...
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,613
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Wewe ni bingwa wa disinformation. Hivi mwalimu wako ni mzeeb Kingunge nini?
   
 12. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nafikiri wewe ni mmojawapo kwa kutuletea cooked informations kama magazeti yenu ya Mtanzania, Mwananchi, RAI, Majira na Clouds. The good thing is you are all known by names.

  Labda nitoe tamko langu lisilo rasmi kwa watu wa type ya SuperNgekewa, Kibonde na Magazeti ya Rostam kuendelea kuwapotosha wananchi eti Marando atavuruga Chadema na eti bora Dr. Slaa angegombea ubunge kuliko urais.

  Hiyo huruma na huo upendo wa kumshauri Dr. Slaa aliyemtaja bosi wenu kuwa ni fisadi mkuu imeanza lini? na lini Chadema imekuwa nzuri kwenu?

  Hatutaki huruma ya fisi na huruma ya kinafiki, tunamtaka huyo huyo Marando hata kama ni usalama wa taifa kinachowauma ni kitu gani. Sisi na Marando nyie na fisadi wenu Rostam full stop.
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu ulikuwa hujui? mbona karibia, kwa udhahiri au zaidi theluthi moja ya wabunge wa CCM ni Usalama wa Taifa? sijui kama kuna sheria ya kuwazuia hawa ndugu. Labda ni njia mojawapo ya kuwapenyeza kila mahali kuhakikisha usalama.

  Ukiendelea kuchunguza si ajabu ukakuta hata mapadri, wachungaji, maaskofu na mashehe kibao nao wamo humo.
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mbona umesahau gazeti la RAI na Clouds FM?
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Cha ajabu nini? Membe, Mudhihir Mudhihir, Augustino Mrema (wakati ule) wote ni wanausalama! KOSA NI KUWA MWANACHAMA WA UPINZANI NA HUKU NI MWANAUSALAMA!
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  HIVYO ANAVYOSEMA SI KWELI? Kama kweli hao mashujaa wako wana lengo na kupambana na maovu ikiwa pamoja na ufisadi basi wangeamuwa kummuunga mkono Slaa kwa kuungana nae ndani ya CHADEMA! Mbona sera za vyama hivi ni tofauti na unategemea watamuunga mkono mtu alie nje ya Chama chao cha mafisadi? Mbona wanaridhika na yakioko CCM? Wacha kutuchanganya!
   
 17. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kama huoni tatizo, wewe mwenyewe una tatizo.
  Hao uliowataja wako kundi tofauti na Afisa usalama wa Wilaya au afisa usalama wa mkoa. Huyo wa Wilaya niliyemtaja ni nafasi inayotambulika kitaifa na ana ofisi yake Wilayani na ni mjumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya. Siyo ajira ya kificho kama hao uliowataja. Ni ofisi ya wazi kwa kazi za wazi kitaifa.

  Labda mfano mzuri ungewataja hao maofisa wa jeshi na pia tungewaweka ktk kundi hilo, tukitaka kufahamu ni kwa nini wanaachwa kufanya hivyo.
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Yangu macho.
   
 19. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #19
  Jul 26, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhh, kwani usalama wa Taifa hawastaafu kazi ? hebu mnijuze.
  Mbona Moma mkuu wa Majeshi aligombea ubunge kwa tiketi ya CCM, TIBAIGANA YUKO BUKOBA, wakati mahita nasikia Yuko Jimboni Morogoro.
   
 20. U

  Umsolopogaas Member

  #20
  Aug 2, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzisha mada kasema gazeti la "Tanzania Daima". Hakuna gazeti la "Mtanzania Daima". Wewe Jasusi gani hata majina ya magazeti yanakuchanganya?
   
Loading...