Mahakama yatupa hoja za serikali; Bunge laachiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama yatupa hoja za serikali; Bunge laachiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-bongotz, Jun 17, 2010.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Upande wa Serikali katika rufaa ya kesi ya kuruhusu mgombea binafsi umeshinda katika hukumu iliyosomwa leo na Mahakama ya Rufaa iliyokuwa inasikilizwa na jopo la majaji 7.

  More to follow
   
 2. E

  Edo JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kashindwa kwenye hoja zote ?
   
 3. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Whaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,363
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  ooh well..
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwangu mimi This is a News but not Information
   
 6. R

  Ramos JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rudiculus...
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Good news ni kwamba Atakata rufani, kwani huo sio mwisho wa maisha!
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,363
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  hakuna mahakama nyingine juu yake.. ndio uamuzi wa mwisho.. ila ningependa kupata details na reasoning yao. Inawezekana ameshinda kwenye hoja ya uwezo wa mahakama kutengua kipengele cha Katiba na siyo hoja ya wagombea binafsi au itarudishwa kesi mahakama Kuu.. kupitia tena.
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Si alishatamka waziri Marmo kwamba hakuna mgombea binafsi. CJ na jopo lake wamepiga mhuri tu amri ya waziri! LONG LIVE TANZANIA AND ITS POLITICS!!!!!!!
   
 10. C

  Chesty JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,353
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Naona giza zito kwenye future ya Tanzania (CCM is a state party)....Pathetic!
   
 11. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nenda mchungaji nenda... ikiwezekana mpaka "The Hague" - Case yako imesimama kwenye "Violation of Human Rights" na inaweza kulinganishwa na za akina Bashir, Taylor, Nkundabatwazi, e.t.c

  Bado una nafasi ya kukata rufaa!
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Watajijuuuuuuuuuuuu
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sala zangu Mungu amezisikia. Hatujawa tayari bado. Wa kusema akasikilizwa kama alivyokuwa Mwalimu hatunaye. Mungu Ibariki Tanzania.
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yes, Zak, in Tanzania CCM politicians are the Judiciary! it is melancholic. To think that CJ has allowed politicians to trample on his head? At what price?
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,616
  Trophy Points: 280
  Hatimaye rufaa yatupwa uamuzi kufanywa na Bunge!.
   
 16. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Omg!
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Majaji wote 7 wamekubaliana na hilo? Au tusubiri "dissenting judgement" kutoka kwa mmoja wao?
   
 18. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Yametimia! hii ilishakuwa wazi si jaji alimuita Rajabu Kiravu yule mweyekiti wa NEC na jibu alilopewa ni kuwa serikali imekwisha kwenda mbali na mchakato wa uchaguzi bila kuhusisha suala la mgombea binafsi! Ki ukweli ingekuwa maajabu mengine ya dunia kama mpiga zumari asingecheza wimbo uliochagualiwa na anayemlipa kupiga zumari hilo! CCM has done it again! Now TZ should kiss a goodbye to democracy!
   
 19. W

  WildCard JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ile ya Afrika Mashariki haina nguvu hapa? Vyovyote itakavyokuwa mgombea huru bado hatujajiandaa vya kutosha. Hakuna serikali yoyote duniani kwa sasa inayoongozwa na mgombea huru.
   
 20. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  oh! NO
   
Loading...