Chadema watoa elimu ya uchaguzi Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema watoa elimu ya uchaguzi Bukoba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kaa la Moto, Jun 17, 2010.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  IMGP4506.jpg IMGP4501.jpg
  Leo Chama cha Chadema jimbo la Bukoba mjini lilikutanisha viongozi wake ili kuwapa elimu ya sheria mpya za uchaguzi na mambo mengine yahusuyo uchaguzi. Ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya uchaguzi utakaokuwapo mwezi wa october 2010.
  Afisa wa Takukuru alihusika kutoa elimu hiyo. Alipata shida na kigugumizi sana katika kujibu maswali ya washiriki.
  Picha hizo zaonyesha mambo yaliyokuwa yakiendelea.
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  safii
   
 3. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  thats is great!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Big up Lwakatare!
   
Loading...