Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAWAHABARISHA WAKEREKETWA WA CCM KUWA CCM SI MALI YOA ILA NI MALI YA MAKAMBA NA MSEKWA.HAWA WAHESHIMIWA WAMETOA KAULI ZINAZODHIHIRISHA HAYA. MFANO MSEKWA ALITOA RUHUSA KWA "WANACCM WALIOSHINDWA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi tangu nchi yetu Tanzania ipate uhuru ni maraisi wanne sasa tunao kuna mengi ya kujiuliza nini tumepata na nini tumekosa katika ngwe zote nne za marais wetu,sina kumbukumbu nzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Hii ni tanzania ninayoitamani, nchi imara ambayo watu wake wanajali uwezo wa mtu wa kuongoza Dr. Slaa. Mashehe watamke Dr Slaa ni chaguo la Mungu wamuunge mkono.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya hotuba zilizovuta hisia za watu wengi nchini mwaka huu ni ile iliyotolewa na mheshimiwa rais tarehe 3 mei. Hotuba ile mpaka sasa bado inajadiliwa mitaani na wengine wameanza kuitumia kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gonga hapa ili kusikiliza mahojiano.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
WAGOMBEA kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini, wamejitokeza katika ofisi za Tume ya Uchaguzi, Manispaa ya Kinondoni kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea ubunge. Wagombea 31 walifika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUZI SERIKALI IMETANGAZA KUONGEZEKA KWA KIMA CHA CHINI NA WARAKA UANONYESHA KUWA KIMA CHINI KIMETOKA KUTOKA TSH 135,000/= ALICHOTANGAZA JK SIKU ANAVYUNJA BUNGE HADI TSH 260,000/= AMBACHO NDICHO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, mara kadha nimekuwa najiuliza hili swali: Baada ya kuona Takukuru ikiingilia rushwa katika mchakato wa kura za maoni za ugombea wa CCM, na ‘kufanikiwa’ kuwanasa watoa rushwa kadha makada wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mtakao kasirika na wengine kufurahia au hata kulalamika. Huu ujumbe wa huyu jamaa wa CUF nimeusoma mahali na nimeona ni heri tuusome wote. Wale wanaokwepa hoja, ngoja niwawekee tena hapa...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ama kweli jana nilikuwa nikiangalia Taarifa ya habari saa 2 za usiku kupitia TBC1 na kumuona Kapt.John Chiligatti akisema viti maalum vimeongezwa hadi kufikia 100, sasa mimi naomba kuuliza hivi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kada wa muda mrefu wa CCM Arcado Ntagazwa ameamua kujiunga rasmi na chama cha Chadema. Mzee Ntagazwa amewahi kuwa waziri katika awamu ya kwanza na ya pili ya serikali ya Tanzania. Katika...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kujaribu kuvunja Jamhuri ya Muungano kwa kisingizio chochote kile cha kisiasa ni uhaini. Mnaweza kutafuta kura na support ya wapiga kura lakini ukweli ni kuwa kuna nchi moja ambayo ni Jamhuri ya...
0 Reactions
255 Replies
24K Views
Jamani Waungwana wezangu mimi nashindwa kuelewa matamshi ya viongozi wakuu wa CCM kuelekea uchaguzi mbona hayaendani na chama kinachotegemea sanduku la kura kupata ushindi. Mwenyekiti wao alisema...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu. Elias Kundecha. 10.08.2010 Habari za kurudi kwa Zanzibar kama nchi nje ya mipaka yake na ndani ya Jamhuri ya Muungano kumeibua hisia mpya za viongozi waandamizi ndani ya Chama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha bunge 2005-2010, Mhe. Jenista Mhagama (CCM, Peramiho) amekuwa mbunge hai (active) kati ya wabunge wote (zaidi ya 270). Katika bunge hilo (2005-2010) Mhe. Mhagama aliuliza maswali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanganyika, Z`bar na gundi ya miaka 45 Na Conges Mramba AGOSTI mwaka jana, waliojitambulisha kuwa ni Wazanzibari waishio Uingereza, walinishambulia kwa maneno makali, kuandika gazetini kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nchi kama Marekani, wagombea uraisi wote wa vyama vikubwa (Republicans na Democrats) hupewa ulinzi Secret Service wakati wa kampeni hadi uchaguzi unapoisha. Je kwa Tanzania, wagombea kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JK ALITOA TAMKO KWAMBA HATA KAMA WAKIGOMA KWA MIAKA 8 HAKUNA BADILIKO KWENYE MISHAHARA NA KIKUBWA WATAAMBULIA KUPEWA NGEU,TUCTA NA WANASIASA WALIPOTIA HAMASA WAFANYAKAZI KUTOMPA KURA JK NA CHAMA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuenguliwa kwa Bwana Mwakalebela, wana CCM wengi wameonesha kukerwa na kitendo hicho. Kumekua na matukio Mengi yakiwemo na kuchana kadi za uanachama Mbele ya ofisi zao(CCM) hapa iringa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau wa JF ningeomba kujua matokeo ya kura za maoni katika jimbo la bariadi mashariki kwa tiketi ya CCM kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya tano. Nina interest ya kisiasa na hili jimbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom