Elections 2010 CHADEMA mmejipangaje Iringa Mjini?

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Baada ya kuenguliwa kwa Bwana Mwakalebela, wana CCM wengi wameonesha kukerwa na kitendo hicho.
Kumekua na matukio Mengi yakiwemo na kuchana kadi za uanachama Mbele ya ofisi zao(CCM) hapa iringa mjini. Binafsi nimeshuhudia haya.
Wengi wameonesha kutokubaliano ya kamati kuu kumrejesha mama Monica.
Katika pita pita zangu Wengi wameamua kuipa shavu CHADEMA.
Nimejaribu kutafuta CV ya huyu aliyeteuliwa kuwania Ubunge jimbo hili kwa tiketi ya Chadema, Lakini sijafanikiwa.
Ningeomba mwenye data kamili za huyu mheshimiwa azimwage hapa.
CHADEMA naomba muwe makini sana hapa. Mpaka sasa hili jimbo lina kila dalili la kuchukuliwa na upinzani. kinachohitajika nikujipanga vizuri tu.
 
RUSHWA ITAKUFANYA UTESEKE MIAKA 5,ICHUKIE RUSHWA CHAGUA KIONGOZI BORA OCTOBA 31: MCHUNGAJI MSIGWA AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA IRINGA KUPITIA CHADEMA, ASEMA KIBOKO WA MAFISADI NI VIONGOZI WA DINI KUONGOZA...............
 
CHADEMA mmejipangaje Iringa Mjini? kwani hakuna vyama vingine vya upinzani kwanini usiseme CUF.
 
CHADEMA mmejipangaje Iringa Mjini? kwani hakuna vyama vingine vya upinzani kwanini usiseme CUF.

Vipo mkuu.
Ila tunapenda mabadiliko.
CHADEMA wako serious kuliko vyama vingine vya upinzani.
Kumbuka Mbowe amegombea Urais mara moja akashindwa akaamua kukaa Pembeni.
Sasa amesimamishwa Dr. Slaa.
Hii inanifanya nione kuwa hawa jamaa hawana masihara.
Kwa upande mwingine nina wasi wasi na hawa wengine kama wako serious!
Hivi wanataka Mungu ashuke awaambie Lipumba hawezi kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania?
Huyu jamaa kasimama mara Ngapi na kushindwa? Kwani huko CUF hakuna watu wengine wanaoweza kugombea urais?
 
Wakati mwingine tuangalie kukubalika kwa chama/mtu sehemu husika,hata tlp/udp na nini sijui wapo Iringa. Je wanauzika kwa wapiga kura?
 
Ona sasa Basha pamoja na vithibitisho bado anaitwa mgeni. mambo gani haya chama tawala kinaitaji vijana tuache mambo ya ubwanyeye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom