Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
Moja ya hotuba zilizovuta hisia za watu wengi nchini mwaka huu ni ile iliyotolewa na mheshimiwa rais tarehe 3 mei. Hotuba ile mpaka sasa bado inajadiliwa mitaani na wengine wameanza kuitumia kwa ajili ya kampeni.
Vyombo vya habari (televisheni na redio) ambavyo hurudiarudia hotuba za waheshimiwa mfano ile iliyotolewa bungeni na raisi wakati anaingia madarakani, na nyingine nyingi zinazotolewa katika matukio mbalimbali. Hotuba hizi hurudiwa rudiwa na nyingine zimeandaliwa vipindi kama vile sikia la mkuu TBC1 nk, lakini ile ya Mei 3 sijaisikia kabisa ikirudiwa.
Sijui kwa nini wameitupa kapuni wakati ni hotuba nzuri na inafaa kusikilizwa kila wakati ili tusije kusahau maneno yenye "busara, hekima na ukali" ndani ya mheshimiwa rais.