Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu jimbo la Tarime kubebwa na Marehemu Chacha Wangwe(CHADEMA), na makundi mawili yaliyokila Chama cha Mapinduzi Tarime, imekua vigumu kwa CCM kurudisha jimbo hilo, hata Uchaguzi mdogo ukapita...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Na CCM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahakikisha watu wote wanaoishi kwa kutegemea hiki kijimshahara changu kutoka kwa JK na mimi mwenyewe hatumpigii Kura CCM na Kikwete. 1. Alizikataa mwenyewe, 2. Alisema atatutumia Polisi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amekiri kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa ni mpambanaji wa siasa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waungwana Leo nimesema hebu nitembelee hii tovuti ya hiki chama kinachoitwa majina lukuki. Orodha fupi ni kama ifuatavyo: 1. Chama Cha Majambazi - CCM 2. Chama Cha Mafisadi - CCM 3. Chukua Chako...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Na Maggid Mjengwa, Jana jioni jamaa mmoja wa Idara ya intelijensia ( Tanzania) aliniuliza swali la ‘ kizushi’ ; “E bwana nataka kuifahamu Jiografia ya hapa, hivi wewe unakaa nyumba ‘A’ au’ B’...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania kama zilivyonchi zingine, imekuwa ikiwakilishwa na mabalozi nchi za nje. Wote tumeshuhudia mabalozi wakiteuliwa, vijana kwa wazee, waliopitisha umri wa kustaafu na walio na damu changa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JULAI 14 mwaka huu aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kishapu na msemaji mkuu wa kilichokuwa Chama cha Jamii (CCJ), Fred Mpendazoe, alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbali na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:crying:Ikiwa ni mwitikio wa wito wa kukataa rushwa uliorushwa na Asasi ya Agenda Participation 2000 kwenye ITV, Channel 5 na East Africa Radio, Wananchi wengi wa jimbo la Igunga wamepiga simu na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu, nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa kipindi cha vichekesho almaarufu ze komedy. huyu jamaa anayejiita bepari la kihaya,(kila sehemu yake ya kujidai inapafika), hakosi kumtaja abdul...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi hii inakaaje? Dr. Slaa ukipata muda hebu pitia hapa na utupe maelezo zaidi. Pia watu kama Zitto, na wanasiasa wengine mliopo hapa JF. Ninashindwa kuelewa kama CCM ambacho ni CHAMA, inakuwaje...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi-CCM kimesema mwanachama yeyote wa chama hicho aliyeshindwa katika uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani anayeona ni vizuri akahamia chama kingine cha siasa, anaruhusiwa kufanya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Polisi Mkoani Morogoro wakionyesha vifaa vipya, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. (Picha na Ida Mushi) Source: Nipashe 18.08.2010
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka ya karibuni kumeibuka watanzania na hususani viongozi wetu kujinadi kwa PHD zao. Inaelezwa kwamba baadhi yao wana PHD feki maana zinapatikana kutoka vyuo ambavyo havitambulikani kitaaluma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Muttamwega Mgahywa, anadaiwa kutapeli Sh 18,829,500 za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Mgahywa anadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AG responds in anti-JK petition Tuesday, 17 August 2010 By Bernard James The Attorney General has asked the High Court to dismiss a petition seeking to disqualify President Jakaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndiyo hiyo wanaJF, inabidi kuwa makini na hizo kura 1.5 Milioni si haba isije ikawa ndo mchezo ule wa jadi kwa upende fulani. Source: IPP Media
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Boniface Meena BAADA ya kukosa ridhaa ya kugombdea ubunge kwa tiketi ya CCM kutyokana na chekeche la mwisho la halmashauri kuu ya chama hicho, waliokuwa wagombea ubunge na wanachama waandamizi...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
msikate tamaa, mageuzi hayaji kwa siku moja milango yote haijafungwa! jaribuni upande wa pili nyie ni wapiganaji
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa mara nyingi nasoma na kusikia watu mbalimbali wakisema kitu ambacho sikubaliani nacho labada mnijulishe vinginevyo kuwa "CCM imetutawala miaka 49 ama CCM imetutawala toka UHURU hadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom