Tanzania ninayoitamani: Mashehe watamke Dr. Slaa chaguo la Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ninayoitamani: Mashehe watamke Dr. Slaa chaguo la Mungu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Watanzania, Aug 18, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni tanzania ninayoitamani, nchi imara ambayo watu wake wanajali uwezo wa mtu wa kuongoza Dr. Slaa. Mashehe watamke Dr Slaa ni chaguo la Mungu wamuunge mkono.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu kama icho (chaguo la Mungu) kwenye Uislam, kwa hiyo SAHAU. Wanaweza kujitokeza baadhi kumuunga mkono (if possible), lakini si kutamka hayo niliyo yataja hapo juu.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  1) Kwa nini mashehe tu ndiyo ume wa single out watoe hilo tamko?

  2) Mashehe watamke ni tamko la Mungu kwani Mungu kawaomba watamke hivyo kwa niaba yao? Wao watajuaje chaguo la Mungu ni nani?

  3) Kama miaka yote kungekua na chaguo la Mungu kunge kuwa hakuna haja ya kupia kura. Huyo "chaguo" la Mungu aki fuatwa aombwe kuongoza nchi.

  Nyie watu wengine you are joking sasa na nadhani mna anza kumtania huyo Mungu. Ndiyo wale wale mnao justify haja zenu kwa kudai ni matakwa ya Mungu.
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Achana nao mkuu. Hoja zingine unabidi ujiulize mtu ana fikiria nini. Mashehe watamka Slaa ndiyo chaguo la Mungu kwani hao mashehe wali tumiwa lini huo ujumbe? Waache waishi kwenye ulimwengu wa ahera wakati matatizo yanayo jadiliwa ni ya hapa hapa duniani.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nimekuelewa mkuu, ndio hivyo tena JF, Kila aina ya mawazo utayapata, some times michosho kichizi...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...