Sikiliza mahojiano baina ya Salma Said na Seif Sharif Hamad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikiliza mahojiano baina ya Salma Said na Seif Sharif Hamad

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by X-PASTER, Aug 17, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Tanzania haijawahi kupata kiongozi mwenye vision kama Maalim Seif Sharrif Hamad kwa uwezo wa Mungu atashinda tena kiti cha urais wa Zanzibar na kutekeleza yote hayo kwa vitendo.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Aug 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Swala la kumiliki ardhi bado linanitatiza.
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hili halina shida kama anavyosema Maalim sheria lazima zifuatwe na hili si geni hata bungeni lilishajadiliwa na serikali ilitoa tamko la kuunga mkono sheria za umiliki ardhi Zanzibar kwa kua eneo lake ni dogo haiwezekani kila ajaye amilikishwe...lenyewe litahitajika kwa kilimo, uwekezaji na makazi ya watu n.k. Ila hii haiondowi fursa nyingine za faida ya matumizi ya ardhi kwa wageni kama unataka kuwekeza sheria za uwekezaji zipo wazi.
   
Loading...