PICHA: NCCR - Mageuzi katika kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: NCCR - Mageuzi katika kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kibunango, Sep 23, 2010.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kibunango,
  Hapa komba wapya msitu ule ule...teh teh teh...!!!
  Kunamtu aliniacha hoi anasema yeye haendi kwenye mdahalo wa kuomba kura mpaka apewe posho...siasa zetu bana!!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Dah, masikini! Hivi watanzania mbona hawashiriki kwenye kampeni za vyama kama hivi? Kweli wagombea hawauziki?
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Junius:
  Huyu hapa chini, ndie mgombea uprez zenj kwa tiketi ya NCCR... Ni mshikaji wake mkubwa wa yule mgombea uprez kwa tiketi ya TADEA(hiki chama sijui kama kipo tena kule Bara)
  [​IMG]
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kampeni ni kwa raha zako...
  [​IMG]
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Chama wanawake...
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 7. PainKiller

  PainKiller Content Manager Staff Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 2,739
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Kibunango,

  You are very funny !

  Have a nice day !
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kibunango,

  Shukrani sana. Ni information MUHIMU ambayo tulikuwa tunaikosa tumepumbazwa na siasa za CCM, CUF na CHADEMA... Hivi vyama vingine hatujavitendea haki kutoleta picha za mikutano yao, tatizo inaonyesha hali si nzuri hata kidogo kwa upande wao!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kibs wewe ni kiboko! Lol naona jamaa kwa raha zao kwenye viti! Hebu fikiria nyoni ya CCM hata kama wanasombwa na magari na posho juu!
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,394
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Yaas,hao washkaji waliohudhuria hapo ndio wanaharakati wa kweli,inaelekea hawakosi kwenye kampeni ya chama chochote kile,

  Bravo watuuu!!
   
 11. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tunawahitaji watu kama hawa kupita kiasi......hawa ni wapenzi wa chama kwelikweli
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  lol
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :confused2:
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  nawapa pole yao, wanaume tumeumbwa matesoooo.... kuhangaika,,,
   
 15. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Mzee ulipotelea wapi? Ningekuwa nimeokoka ningekemea chama hiki kisambaratike kabisa na pasije ikatokea duniani kote pakawepo tena chama kinachofana na hiki; ningekuwa msajili wa vyama duniani, ningetafuta sababu yoyote ile hadi nikakifuta dunia nzima! Aheri hata UDP-CCM ya Cheyo
   
 16. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Vibaraka wa sisiem tu hao, hawana lolote. Ruzuku wanapata wapi ikiwa wana idada finyu sana ya viti mjengoni. :confused2:
   
 17. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Hata Marekani kuna vyama zaidi ya Republican na Democratic. Lakini hivyo vingine ni no-hopers. Nobody pays attention to them. Vivyo hivyo hapa.
   
 18. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Hawa ni wamachinga wamejipumzisha.
   
 19. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanasikiliza sera,,kisha wanakunywa Dizel kushuhia,, si mmemuona jamaa yupo na dumu la dizel hapo?
  Safi sana hao ndio WAFIA CHAMA
   
 20. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Unajua JK siku moja ameongea point ikanikuna sana; "achaneni na vyama vya msimu". Adui mkubwa sana wa binadamu dunia nzima ni VYAMA PINZANI FEKI. Uwepo wake unakuwaga na madhara makubwa mara mbili au tatu kuliko kama visingekuwepo
   
Loading...