Elections 2010 Dr. Slaa aanza kuwakawaka Channel Ten

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Dr. Slaa leo ameanza kuwakawaka channel ten

Katika taarifa ya habari ya channel ten ya jioni ya leo, Dr. Slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia mkutano wake wa kampeni huko Ifakara.

Yaelekea channel ten imesitisha mgomo wake baridi.

Hongera channel ten kwa kuweka utaifa na maadili ya kazi mbele.
 
Labda matokeo ya polls zao yameonesha kuwa kura hazitoshi, kwa hiyo wanajiandaa kisaikolojia kumpokeaa boss mwingine.
 
Hawana jinsi; wabaya sana na wachafu kabisa CH10; Wachafu wakubwa; kuna vijana wajinga kabisa; sijui wamesoma wapi hawa
 
Hawa chanell 10 vilaza wakubwa pale amejaa vijana wa form 6 na la saba hakuna kitu pale mbumbumbu
 
wanajua ni lazima wamtangaze au waanze jitihada za kuhama nchi na pakwenda hakuna huku moto huku moto, kwani Dr Slaa anakuja sio hadithi tena, yule msemaji wao alikuwa anawadanganya kama Chemical Ali, fulana , fiesta, tbc, nec, geshi, sheikh, wote wameshindwa.
 
Hawana jinsi; wabaya sana na wachafu kabisa CH10; Wachafu wakubwa; kuna vijana wajinga kabisa; sijui wamesoma wapi hawa

Unawaonea bure...... tatizo sio wao, tatizo ni muhindi/mwarabu yule yeye pamoja na mwingine wa Moro!
 
Tatizo sio waajiriwa ni waajiri.Hawa form6 na darasa la saba tunawaonea tu,japo kuwa dhamila zao zinawatuma kufuata maadili ya taaluma lakini uhakika wa kupata mkate wa kila siku ndio unawalazimu kutenda kwa kufua matakwa ya waajiri.Nnacho furahi hata waajiri wanajua waajiriwa wao wata vote kwa Dr Slaaa. Si mnajua unaweza mlazimisha punda kwenda kisimani lakini...............
CCm wajue kuwa wanaweza somba watu kwa magari kwenda kuudhuria mikutano ya kampeni lakini siku ya kupiga kura wakfanya uamuzi wao sahihi kwa kuchagua Dr Slaa.
CCM:hand:
 
Dr. Slaa leo ameanza kuwakawaka channel ten

Katika taarifa ya habari ya channel ten ya jioni ya leo, Dr. Slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia mkutano wake wa kampeni huko Ifakara.

Yaelekea channel ten imesitisha mgomo wake baridi.

Hongera channel ten kwa kuweka utaifa na maadili ya kazi mbele.

Wajanja ho, wameangalia upepo unavyovuma. Tatizo la chama cha mafisadi kinahaha kunyamazisha sauti za wananchi (vyombo vya habari) ili kiendelee kunyonya nchi. Tunawaonya wamiliki wa vyombo vilivyoingia kwenye mbinu hiyo chafu waache mara moja vinginevyo, waanze kufungasha vilago maana watake wasitake, Dr. Slaa ndiye Rais wetu wa tano.
 
kwani walikuwa hawatangazi habari za chadema? Maskini walipotoka kidogo, lakini ni bora wamelijua hili mapema hivyo wametumia akili ya mbayuwayu
 
Nimeiweka Channel 10 under PG ktk king'amuzi changu. Sijampa mtu password.
Hawana vipindi vizuri wala vinavyojenga zaidi ya propaganda.
Angalia for past 5 year kipindi cha Je tutafika kilivyotumika kama jukwaa la kuijenga CCM na kuifanyia kampeni ya kuwa ipo credible na inafaa kuongoza. Ingawa ilijitahidi kupitia kipindi cha pambanua kufichua uovu wa serikali na barick dhidi ya wananchi kule mgodini. Lakini ikumbukwe kwamba kipindi cha PAMBANUA kinalipiwa fedha nyingi na LHRC tofauti na cha Makwaia ambaye ni swahiba wa Hamza kassongo kinaonesha bure na kutafutiwa wadhamamini.
Need me to say more?
 
Chanel 10 nilikua naangaliaga UEFA tu. Tangu walipoacha kuonyesha UEFA sikumbuki hata hako ka chanel kanaonekana vp?.
 
ni habari njema japo najua wanabeep tu wanataka kutupaka mgongo kwa mafuta ya chupa
 
e bwana sijajua kama ktk karne hii kama kuna chombo ambacho kinaweza kuwa kibaguzi hasa kipindi ambacho uchaguz unafanyika.....
 
Back
Top Bottom