Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanajamii,hebu tukumbushane,hivi Mgaya alisema wafanya kazi kura wampe Dr Slaa au nani? Wafanyakazi wa serikali,kampuni binafsi,wa majumbani,wa mashambani,waliojiajiri wenyewe n.k.Alisema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1. RAISI Kikwete HAWEZI KUONGEA ZAIDI YA DAKIKA. 10 kwa kipindi hiki. Akichaguliwa ni nani ajuaye kuwa itafikia mahali ziwe dk. 5 tu. 2. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni kupuuza watanzania kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakika katika hali ya kawaida, hakuna nchi iliyojitosheleza kwa kila kitu katika ulimwengu huu. Kila nchi ina mapumbufu au mambo ambayo hayajakaa sawa katika kuishibisha ile mihimili ya kimtazamo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kadri siku zinavyoisha kuelekea uchaguzi CCM imeishiwa hoja inaona Dr Slaa anapaa Mkakati ifuatayo inatumika 1. KUTUMIA JWTZ KUTISHA WATU hapa wakubwa wanalindana mwenzao wanaona anakaribia kufa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nakumbuka wiki 3 zilizopita nilianika hapa jamvini jinsi nilivyopata taarifa kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM kuwa CCM itatumia mbinu za mugabe kutafuta ushindi wa nguvu. Mbinu hizo ni Kutumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo wagombea ubunge Arusha mjini walishiriki kuadhimisha siku ya wazee duniani kwa kushiriki maandamo yaliyoanzia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha.Wagombea ubunge wa vyama vya Demokrasia makini,CUF...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shosti kaja na mapya,hebu msikie:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana unaendela "live" hapo EATV na Januari Makamba yumo kinyume cha maagizo ya baba yake Bosi wa CCM kuwa CCM haitahudhuria midahalo hiyo! Hili sakata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba niwajuze yale yanayoendelea na kuwasibu wenzetu wanaoitakia mema nchi yetu. Habari hii nimeisoma kwenye mtungo wa Francis Godwin September 30, 2010 SITAZIBWA MDOMO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na FRANCIS GODWIN (MZEE WA MATUKIO) Msafara wa mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Bw Ridhiwan Kikwete ukiondoka katika shule ya msingi Ipogolo baada ya kikao chao cha...
0 Reactions
76 Replies
15K Views
watu wamepatwa na mshituko kuona mnadhimu mkuu wa jeshi akitoa kauli za utata,hakuna jipya ni mwendelezo wa kutoa vitisho kwa wananchi ili kuhalalisha ushindi kwa ccm,upinzani kuweni macho na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fredy Azzah AFYA ya mgombea urais wa Muungano kwa tiketi ya UPDP, Fahmi Dovutwa bado tete na yuko kitandani kwa siku tisa sasa kutokana na tumbo lake kujaa gesi, na hivyo kupata maumivu makali ya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wana JF naombeni kufahamu kuna kitu nimekuwa nakisikia kwamba kipo ndani ya CCM, Kwa mfano kuna siku tulikuwa tumekaa mahala na jamaa zangu, tukibashiri uchaguzi wa mwaka 2015 kwamba ni nani...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi wale jamaa wanaofanya vikao vyao pale Kinondoni Makaburini kwa nyuma (Shadema) ni nani wajumbe wa kudumu katika ule mkutano wao mkubwa?Halafu wale wamama wa viti maalumu ni kina nani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kura za maoni zilimsaidia Obama kuingia White House. Mimi nina amini na kuheshimu kura za maoni...Wewe Je? Karibu Jamvini 1. Tanzania Opinion Poll Service: Tanzania General Election 2010 2...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake, nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa jk na kufanya maamuzi sahihi octoba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana jioni niliangalia taarifa ya habari ya TBC1 nakuona jinsi hii TV ya uma ilivyo chafu! Walitoa habari ya ukosefu wa maji katika mjini wa Karatu. Ni aibu sana TV ya uma inayoongozwa na mtu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
The similarities in the East African electionsThursday, 30th September, 2010E-mail article Print articleBy Jerry Okungu MY interest in Tanzania’s impending elections is obvious. I am a Kenyan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom