Blog ya Slaa

Hata friends of Kikwete wana blog.

Siri imefichuka, kumbe wewe bwana huna uzalendo; kujikomba komba kumbe unafukuzia ubalozi badala ya kuikomboa nchi yako toka kwa hawa mafisadi!! Aibu..........na fedheha kwako.
 
tembelea www.friendsofslaa.blogspot.com

ndio nimeinas humu naona imeanzishwa na wanaompenda .

AHADI TANO ZA KIZALENDO.
1.CHADEMA WOTE NI NDUGU ZANGU NA RAIS 2010-2015 NI SLAA
2.CCM NI ADUI WA HAKI.SITAKUBALI KUICHAGUA`WALA KUONGOZWA NAYO
3.NITAPIGA KAMPENI KWA KADRI YA UWEZO WANGU NA KUCHAGUA CHADEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE.
4.AKILI NI MALI ,SITATUMIA AKILI YANGU WALA MALI YANGU KUKAMPENI CCM.
5.NITASAMBAZA MESEJI HII KWA KADRI YA UWEZO WANGU ILI TULIKOMBOE TAIFA.
Mungu ibarikitanzania,Mungu mmbariki rais ajaye DR Peter Slaa
 
6. Sitakubali kuitwa mbayuwayu nikiwa hai!
 
Hili bandiko halina sifa ya kukaa kwenye ukumbi huu, unless otherwise ukumbi wa Matangazo Madogo madogo uwe umejaa.
 
6. Sitakubali kuitwa mbayuwayu nikiwa hai!

Tafadhali tusitumie hili neno sana maana hata watoto wetu nyumbani wanatuita mbayuwayu sisi wafanyakazi na waalimu wa Tanzania.Mashuleni wanafunzi wanatuita waalimu mbayuwayu,imeshakuwa kero iliyosababishwa na Mkulu wa kaayi.DR JK.Mkuu wa nchi-URT(United Republic of Tanzania)
 
vyovyote iwavyo vile nani ni nani inahuuu??kinachohuu ni blog ya slaa!!!!!

thats guuuuuuuud!!!!!!!!!!!!
 
Hii sasa nimeipata, maana ile ya mwanzo ilinizingua...

Mkuu Ramos, tread carefully na hiyo mpya - nashuku kuna kamchezo fulani hapo kwani wajanja wa Bongo hawakawii, duh! Jaribu kuwasiliana na uongozi wa Chadema uwe na uhakika na authenticity yake.
 
HUYO MAHIMBO MWENYEWE NASIKIA NI "KULA KULALA" alikuwa anamtegemea mkewe, mamaaa akachoka AKASEPAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom