Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
...Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la D'Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amesema kwamba madai kwamba mgombea fulani ni chaguo la Mungu huo si usemi wa Kanisa Katoliki wala si msimamo wa Kanisa katoliki, bali ni maneno ya watu binafsi kwa nafsi zao.
"Wanasema kuwa fulani ni chaguo la Mungu, je na hao wengine ni chaguo la nani?". Alisema kuwa misemo ya namna hiyo na mingine inaweza kuleta tatizo katika jamii na kutaka kila mtanzania kuwa makini na mambo ya namna hiyo. {Refer: TUMAINI LETU, October 01-07, 2010, pg. 01-02}....