Mabango ya CCM na haki za raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabango ya CCM na haki za raia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 2, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Najua kua humu ndani kuna wanasheria waliobobea.Hivi CCM inapoamua kumpiga mtu au kundi la watu picha na kuamua kuweka publically kwenye mabango yao na bila ridhaa ya watu husika kwa manufaa ya chama na sii taifa.Je watu hawa waliotendewa sivyo,wana haki gani kisheria?Kwnini picha za watu zitolewe bila ridhaa zao?Je wanaweza kudai fidia?Wanasheria mpo hapo?Tusaidieni
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu unataka ukadai nini?
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuna rafiki yangu kaniambia kwamba jamaa yake mmoja anaonekana katika mojawapo ya bango la JK jijini hapa na hependi hivyo maana anaona amedhalilishwa. Anasema angalau angeombwa ruhusa kwanza.

  Huyu mtu ni basi ashukuru Mungu tu, au anaweza kudai fidia kwa kudhalilishwa?
  Anasema alipopigwa picha hiyo hakujua hatimaye itatumika katika mambo ya chama -- kampeni za JK.
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo ccm wanachakachua hadi watu
   
 5. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anafosi kingi. Teh teh teh :tonguez:
   
Loading...