Elections 2010 Zanzibar mpeni Maalimu wa CUF urais

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Ndugu wanajamii,nilikua natafakari sana urais kwa ndugu zetu wa Zanzibar,nimeona kua ni Vizuri wakampa Kura Maalim Seif wa CUF.Ukiangalia Dr Shain alipokua makamu wa Rais,amefanya kitu gani cha kuwafanya wazanzibar wampe kura?Sijaona alichokifanya.Nawashauri angalau wampe Seif huenda akaleta msukumo mpya wa kimaendeleo.Pia wale wa Bara,mpeni Kura yenu Dr Slaa,pamoja na wa
 
Halafu kitakachofuatia utuombe Urais wa Tanzania tumpe Slaa? Tushakustukia JANJA yako. Hiyo janja haiko tofauti na ile ya Chadema. Maalim Seif hahitaji support ya wafuasi wa chama cha Chadema hata ya kura moja. :tonguez:
 
Back
Top Bottom