Vihehere wapo wapi? Mbona Si wasikii? Wamekata Tamaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vihehere wapo wapi? Mbona Si wasikii? Wamekata Tamaa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by August, Oct 2, 2010.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,190
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Baada ya watu kuongelea saana kuhusu Kihehere1, 2 and 3 naona kampeni zao zime poa? kulikoni? wamekataa tamaa au nimi mimi kukosa mawasiliano nao/magazeti/redio au wanajadiliana kwanza. hatua za kuchakachua?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Mkuu asante Kwa jina jipya! Hahahaaaaa.
  Baada ya zomea zomea na kuandamwa n vyombo vya habari, naona Wamerudi Kwa ajili ya kurenew security kutoka Kwa shehe nanihii.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,817
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280

  Watanzania wakikosa uongozi bora ndani ya CCM watautafuta nje ya CCM..
   
Loading...