jamani hii habari sijaielewa huyu anasema kweli au just ndio fitna zenyewe?
iweje donge wakatae kufanyika mikutano ya siasa hule kwao?
source Michuzi
ZENGWE LA KAMPENI JIMBO LA DONGE...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) in Mpanda District, Katavi Region, has suspended indefinitely five of its members from the party for allegedly campaigning for an opposition aspirant.
The suspended...
Send to a friend Friday, 15 October 2010 07:40 0diggsdigg
Patricia Kimelemeta, Kigoma
MGOMBEA urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Hashimu Rungwe jana alipata wakati mgumu baada ya wananchi wa...
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.
CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.
What is the meaning of this?
Wizi na uwongo, ni ujanja nilorithi kutoka kwa mama yangu mimi, vyote mkagundua, mkaona silingani kabisa kuwaongoza.
Na kama haitoshi, mkakata kabisa na shina la mabango yangu mimi, eti kisa...
UCHAGUZI WA MWAKA 2005 WACHUNGAJI WALIMWITA JK KAMA NI CHAGUO LA MUNGU MWAKA HUU INAONEKANA WACHUNGAJI WAMETOFAUTIANA KAMA VILE KURA ZA MAONI ZINAVYOTOFAUTIANA HABARI ZAIDI GONGA HAPA: HabariLeo |...
16th October 10
Utafiti mpya wajibu Redet na Synovate
Elizabeth Zaya
Baada ya Taasisi ya Utafiti na Demokrasia (Redet) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Kampuni ya...
Sasa mambo yameiva, asiye na mwana aeleke jiwe!
Mwaka 2005 katika kampeni za uchaguzi CCM walishangazwa na CHADEMA kutumia Helkopta kufanya kampeni katika nchi masikini kama Tanzania. Katika...
Katika hali isiyo ya kawaida magazeti mawili ambayo tunachukulia wote wahariri wao walikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa TCIB yaani Tanzania Citizen Information Bureau lakini wametoa...
Ichi kipindi leo kuanzia 21hrs mpaka 22hrs TBC kilihudhuliwa na JAHAZI ASILIA,CHADEMA(MWAIPAJA),TLP (MLUGE) ,CUF etc
Wagombea wote walijiandaa vya kutosha kwa jinsi walivyokuwa wakiongea.
Kati...
Chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi...
ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku,leo akiwa mlandizi jk mbele ya kipaza sauti chake kiliwekwa kibao kilichoandikwa maneno hayo:for a fair future for all,vote for ccm,akaendelea kuhutubia akisema...
‘Uchafu' wa mgombea Sumbawanga watua kwa Makamba
* Apelekewa barua, picha za Mhindi akifanyiwa unyama
* AFORD, asasi za kiraia zataka CCM ichukue hatua
Na Waandishi Wetu, Dar na...
Haya yote ni sehemu ya udhaifu wa CHADEMA na CUF lakini kuna mengi zaidi ya haya hasa kwa upande wa CHADEMA ambao wanaendesha propaganda zisizo na mwelekeo wala ujazo wa...
By The guardian reporter
Two Kiswahili tabloids, Rai and Tanzania Daima, have been identified as the most notorious in negative publicity to political parties participating in the ongoing...
Ni jambo la kawaida kabisa hususani kwa nchi zilizoendelea kidemokrasia wakati mkiwa kwenye kampeni na ushindi mnono unanukia kuanza maandalizi ya kukamata dola na kushika hatamu za uongozi...
Nilikua nawaza sana na nikatafuta wa kumlinganisha Slaa na rais yeyote aliyewahi kuishi au aliyepo.Nimegundua Dr Slaa ni Sawa na Baraka Obama.Kama dunia ilivyokua inatamani sana America kuongozwa...
hadi sasa polls za gazeti linalosomwa na wengi la mwananchi,jumla ya voters 3525 matokeo kama ifuatavyo
dr slaa 71.1%
kikwete22.4%
lipumba 4.5%
tlp na nccr wamepata 0.5 kila mmoja
ukiangalia...
Kuna hili bango la wizara ya afya ambalo limekuwa pale ocean road takriban miezi miwili sasa. Ni wazi linampigia JK kampeni, na tume haikutoa amri ya kuliondoa. Tukumbuke rais wetu mteule Slaa ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.