Elections 2010 Chadema kaa mbali na fujo, wameishachanganyikiwa wanataka kuahirisha Uchaguzi

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,399
4,063
Chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama ......., na kama wamechoka kuuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama wanacho ona kinafaa. iwe chadema, ccm, nccr, cuf tlp ni wao wenyewe waamue maana watanzania wanajua sera na vyama vinavyo gombea na ubore wenu au wao, play it wisely/diplomatically/carefully haina haja ya kutumia nguvu saaana kwa mtu anaye mlevi ambaye anaanguka mwenyewe, kwa nini kujitafutia kesi.
 
asante kwa maneno yako ya busara na utulivu mkubwa..Tunakaa mbalina fujo wasije tupotezea timing za kula bata tar 31 oktoba
 
Ukiyavulia maji nguo ni shurti uyaoge
sawa uyago na katika hali uliyo tegemea, yawe ya uvuguvugu au baridi kutokana na hali ya hewa ulipo? njombe twatembea na majiko yetu? na dipolomasi does not cost u anything other than ustaarabu? maana sisi tu waaarabu?
 
Chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama ......., na kama wamechoka kuuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama wanacho ona kinafaa. iwe chadema, ccm, nccr, cuf tlp ni wao wenyewe waamue maana watanzania wanajua sera na vyama vinavyo gombea na ubore wenu au wao, play it wisely/diplomatically/carefully haina haja ya kutumia nguvu saaana kwa mtu anaye mlevi ambaye anaanguka mwenyewe, kwa nini kujitafutia kesi.

"Kuharisha uchaguzi" ndio nini? Check the title!
 
unatufaa wa tanzania wote, lakini cha kuangalia na usalamaa wetu na economic prosperity, hasa wa pemba na bara ambao umezuluwia kwa muda mrefu
 
Chadema hatuna fujo kwani serikali tayari ni yetu.. CCM ndiyo wakae mbali na kuchakachua kura...... na Wakubali kauli na maamuzi ya watanzania....
 
Chadema Kaa mbali na Vujo , wameisha changanyikiwa wanataka kuharisha Uchaguzi

Angalia spelling za maneno uliyoyatumia katika heading
 
kuondoa malumbano kuharisha nilikuwa na maainisha kuhairisha sawa muzee upo? vujo niklijkuwa namaaanisha vujo upo hapo? kama haupo u can ring me again.
achante chanaa ndugu yangu wako ninaye ishi mchachaani katika bonge la mpunga
 
Ok.....so na vujo umemaanisha fujo au hiyohiyo vujo????

Anyway thanx 4 alert......
 
nashukuru kwa angalizo la fujooooooooooo, we muislamum/mkristo/mpagani safi karibu tena.
"hivi vi nchi vyetu bado vina tatizo la ukabila/udini/umasikini inabidi tuukimbie? mimi nina marafiki wengi tu toka hayo madini/makabila na ushirikina/ushirikiano na watu batili mwiko, ndio maana nampenda Mkandara kwa sababu yupo objective, na wengineo wenye msimamo kama huo
 
chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama ......., na kama wamechoka kuuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama wanacho ona kinafaa. Iwe chadema, ccm, nccr, cuf tlp ni wao wenyewe waamue maana watanzania wanajua sera na vyama vinavyo gombea na ubore wenu au wao, play it wisely/diplomatically/carefully haina haja ya kutumia nguvu saaana kwa mtu anaye mlevi ambaye anaanguka mwenyewe, kwa nini kujitafutia kesi.

kumbe munatumia nguvu kubwa saaana na kumbe ni kweli chadema huwa munaleta fujo!!! Mimi nilifikiria kuwa munazuliwa!! Basi kama mumeshakiri then mumetusaidia wadanganyika kumtambua ni nani anaetaka kumwaga damu yetu!!

Tunashukuru sana chadema kuwa mumeamua kukaa mbali na fujo hivyo tunategemea basi uchaguzi utakwenda vizuri ila nawakumbusha matokeo yakitoka na ikiwa mutashindwa basi mukubali matokeo na mumpongeze atakaeshinda kama ni TLP, NCCR, CUF au TPP-MAENDELEO nk. Hio ndio demokrasia sio mutuletee fujo siku hiyo tafadhalini!!!
 
hiyo ni tafsiri yako ya mtu asiye na uenzo wa kufikiri, ukweli wa mambo ni kwamba kuna chama fulani chenye jina kubwa na uwezo wa mabadharuli ambao wange penda kutumia pesa na nafasi zao kuendelea kuwanyonya na kuwaibia watanzania, kwa hila na ubadharuli wao changanya na wako.
 
Mnakoelekea bado kidogo mtapigwa ban. Rumbaneni but chondechonde msitukane. Tunawahitaji sana hapa jamvini hasa wapinga mafisadi!
 
hiyo ni tafsiri yako ya mtu asiye na uenzo wa kufikiri, ukweli wa mambo ni kwamba kuna chama fulani chenye jina kubwa na uwezo wa mabadharuli ambao wange penda kutumia pesa na nafasi zao kuendelea kuwanyonya na kuwaibia watanzania, kwa hila na ubadharuli wao changanya na wako.

kumbe naongea na walevi wa piwa!!!!!
 
avatar20202_1.gif
we jamaaa mbona uko mbio namna hiyo hebu niambie unashangiria ushindi wa CHADEMA nini?
 
Back
Top Bottom