Mh Slaa amkoromea Kikwete: Disco au Sera? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Slaa amkoromea Kikwete: Disco au Sera?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zawadi Ngoda, Oct 15, 2010.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Sasa mambo yameiva, asiye na mwana aeleke jiwe!

  Mwaka 2005 katika kampeni za uchaguzi CCM walishangazwa na CHADEMA kutumia Helkopta kufanya kampeni katika nchi masikini kama Tanzania. Katika uchaguzi mdogo wa Mara CCM wakaiga matumizi ya Helkopta, lakini baada ya uchaguzi Makamba akapiga marufuku kwa CCM kutumia Helkopta. Kwani mfuko ulitoboka sana bila mafanikio.

  Mwaka huu CCM wamekuja na mpya 'Bongo flavor' mpaka asubuhi. Usisahau usafiri wa malori. Baada ya kuona mtindo huo umefanikiwa sana katika kuwakusanya vijana, ukimya wa Mh Slaa umemuishia na sasa ameshaanza kunena. Lakini jibu la KIKWETE NI RAHISI, KAZI NA BURUDANI. Kusanya watu kwanza ndio wape SERA.

  Hii ni alama ya kuwa mambo kwa Mh Slaa hayaendi vizuri, na ameshaona kuwa hata lile lengo lake la 25% huenda asilifikie. Na ukizingatia kuwa siku zilizobaki ni chache ndio kiwewe kimempanda.

  Hali sio hiyo tu bali mbaya zaidi ni kwamba mfuko wa CHADEMA umeshatoboka wakati ule wa CCM ndio kwanza unajaa.

  Sasa Mh Slaa amechanganyikiwa na hajui afanye nini. Pengine kama hapa JF mtapitisha mchango kwani ni Rahisi mkiweka A/C namba.

  Mpaka jibu halijapatikana, dawa iliyobaki ni kumkoromea Kikwete ili aachane wa wasanii bora, kitu ambacho ni vigumu kuwezekana.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Disco au wewe unaonaje?

  [​IMG]
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bila kuisahau hii:

  [​IMG]
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwako CHEGE na TEMBA ndo wasanii bora...ukiwa mlevi hata mkojo unaweza kusema ni TUSKER BARIDI
   
 6. A

  A Lady Senior Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe sio Mtanzania!
   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Viki kamata ndani ya nyumba:

  [​IMG]
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huyu slaa huyu sijui nimfanyeje tu miye fisadi na haramia lililokubuhu:

  [​IMG]
   
 9. A

  August JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  mpenzi zawadi hivyo ndivyo unavyo zidi kuzeeka au wamekuloga mpenzi, nashindwa kukuelewa nami bado nakupenda.
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mmmmmmm! Kwa mtindo huu hakatishi mgombea mwingine.
   
 11. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mwafrika, nakukubali kwa hii staili yako ya kuwajibu hawa wabwabwajaji !!!!!!!!
   
 12. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Ni kijani tu mpaka sakafu. Nyie acheni tu!

  Ni uchaguzi ambao hautakuja kusahaulika. Mwacheni KIKWETE ATINGE IKULU BAADA YA 31.10
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mambo ya Slaa hayaendi vizuri vipi Ngoda? Unataka na yeye aandae fiesta kama za Jakaya na magari ya kukodi kuwaleta wanachi mikutanoni? Tafuta habari utrapewa kilichotokea Mwanza wakati Kikwete alipoenda kukampeni. Wanachi kutoak Ukerewe walilala Uwanjani hadi keshoye maana hakukuwa na usafiri wa kuwarudihsa jioni ile. Kule Arusha baada ya fiesta kuisha wananchi waliatafuta namana ya kurudi vijijini kwao walipotolewa na magari ya kukodi (labda wao walipewa nauli mapema na kwa kuwa vijiji vyao vinafikika kirahisi) tofauti na wale wa Mwanza (Ukerewa) amabo hawakuwa na namna maana ni hatari kutumia mamboti kuwavusha mamia ya watu usiku.
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa hawasomi kinachoandikwa na wenzao hapa JF.... picha zinawapa jumbe 1000 kwa sekunde
   
 15. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jaribu kutoa hoja. Hujaweka mezani ushahidi wa mfuko wa chadema kutoboka na ile wa ccm kutuna. Hujaweka mezani ushahidi kwamba ni pesa ndo unanunua nguvu ya wananchi. Hujathibitisha kwamba watz mwaka huu bado wanadanganyika na pesa tshirt nk

  hebu anza upya, mwanzo kabisa
   
 16. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika huyu mama ilipo picha ya jk ndio mahala pake.wanamtukana bila kujitambua
   
 17. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jaribu kutoa hoja. Hujaweka mezani ushahidi wa mfuko wa chadema kutoboka na ile wa ccm kutuna. Hujaweka mezani ushahidi kwamba ni pesa ndo unanunua nguvu ya wananchi. Hujathibitisha kwamba watz mwaka huu bado wanadanganyika na pesa tshirt nk

  hebu anza upya, mwanzo kabisa
   
 18. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hoja ni kwamba, anaweka Disko ili kuita watu waje kusikiliza ujumbe mahsusi. Halafu ana ujumbe mfupi 'KAZI NA DAWA'
  hATA WASUKUMA WAKILIMA HUWA KUNA KUWA NA MTU MMOJA HUCHEZA DISCO AU NGOMA ZA ASILI KAMA UKIPENDA.

  SASA HAPA KINACHOWAUMA NYIE NI NINI?
   
 19. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #19
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Acha kujipendekeza kwanza wewe si mwanafamilia ebo!

  [​IMG]
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Zawadi Ngonda 是支持 CCM 的愚蠢的人之一。

  他們偷很多我們的資源,而現在他

  們擔心在我們搶奪電力之後,我們將處罰他們
   
Loading...