Bendera za CCM kwenye yadi ya makaburi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera za CCM kwenye yadi ya makaburi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 16, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.

  CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.

  What is the meaning of this?
   
 2. M

  MjengaHoja Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi nahc walijua mtu kama wewe ukipita utapata ujumbe na si vinginevyo....
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Vipi kama ukipita wewe?
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wanajiandalia nafasi ya kuongoza wafu maana hatima yao ni 31 oktoba.
  hawawezi kushindana hata na saikolojia zao
  veri veri poooor
   
 5. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani mbona ni kitu rahisi, hiyo inamaana kuwa wameshazikwa
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wana weka booking mapema
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ndo wanakostaili kuweko uko baada ya 31st Oct.
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Labda wanakesha huko wakitambika kwa mizimu, na kwa wale 'walinzi' wa mzee Yahya. Wakimaliza wanaacha bendera zao huko.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unaweza kuta wanataka timiza sharti la mganga wao
   
 10. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ulinzi toka kwa yule mtabiri wa nyota
   
Loading...