Dr. Slaa na Chadema wajiandaa kukamata hatamu za dola na uongozi wa Taifa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa na Chadema wajiandaa kukamata hatamu za dola na uongozi wa Taifa...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 16, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,548
  Likes Received: 57,431
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la kawaida kabisa hususani kwa nchi zilizoendelea kidemokrasia wakati mkiwa kwenye kampeni na ushindi mnono unanukia kuanza maandalizi ya kukamata dola na kushika hatamu za uongozi.

  Hatua hizi hujumuisha kuanza kuwasiliana na wachapakazi wenye sifa za kuteuliwa kukamata sehemu nyeti serikalini ikiwa ni pamoja na kupima utendaji wote serikalini ili wale wema waendelee na nafasi zao au hata kufikiriwa kupandishwa vyeo.

  Jitihada hizi za maandalizi za Dr. Slaa na Chadema zinastahili kupongezwa na sote wapenda maendeleo ya taifa letu hili changa duniani.

  Wakati Jk anatutishia na umwagaji damu, Dr. Slaa na Chadema wanaendelea na maandalizi ya kuliongoza taifa.

  Thank you Dr. Slaaaaaaaaaaaaa and thank you Chadema for rising up to the occasion........................ We badly need you............
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Hii ndio tunasubiri .
   
 3. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Kweli ndg yangu unanizidi kuipenda CHADEMA...............
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku hiyo wale wenye picha za ccm za kinafiki, watazichana na kujumuika nasi barabarani kwa shangwe kubwa ya kihistoria. Naisubiria sana siku hiyo
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  JK tayari kashaanza kumwanga damu
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Umegundua wakati Slaa anasisitiza hataki kwenda ikulu uku akiwaacha watu vilema na wanavuja damu JK yuko bize anasisitiza umwagaji damu kwa kutumia Green Guard na uku anahubiri amani.
  Free is comming t'row
   
Loading...