CCM Mpanda yawatimua makada wake watano kwa kuipigia debe CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mpanda yawatimua makada wake watano kwa kuipigia debe CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Reyes, Oct 17, 2010.

 1. R

  Reyes Senior Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) in Mpanda District, Katavi Region, has suspended indefinitely five of its members from the party for allegedly campaigning for an opposition aspirant.

  The suspended members include Abraham Kombe and Francis Nandi who were eyeing the parliamentary and councillorship seats for Mpanda Urban and Ilembo, respectively, but got defeated in the party's primaries.

  Others are Magret Maembe and Raphael Kaswiza. Mr Kaswiza is one of the most respected elders in the area. The fifth expelled member is Vicent Nkana.

  Kaswiza, a retired chairperson for Mpanda District Council and former member of Mpanda District Political Committee, is accused of campaigning for Chadema parliamentary candidate Said Arfi, during a campaign rally.

  The CCM members were notified about their suspension through letters signed by the party's Mpanda District Secretary, Mr Jacob Mkomola. The suspension takes effect immediately. Their fate would be determined by higher party authorities.

  Source Gazeti la CHAMA CHA MAPINDUZI Daily News
  Mpanda suspends five CCM members | Daily News Election Portal
   
 2. coby

  coby JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwishowe watafukuza members wote
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Bado hawawezi kumaliza upinzani wa ndani ccm.
  kuna ambao wanaona kikwete na kundi lake hawafai, na kuna wale ambao wamestukia sera za chama ni shubiri kwa ustawi wa taifa
  naamini oktoba 31 upinzai itavuna kura nyingi za ccm
   
 4. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Wana ccm wachache ambao nimebahatika kuzungumza nao naona wote wanampenda Slaa. Nadhani angalau 50% ya wenye kadi za CCM watatoa kura yao ya Urais kwa Slaa. Kila mwenye akili anajua tutaadhimisha miaka 50 tangu tupate UHURU mwakani. Ni wakati wa kuanza upya. Na Rais mpya. Na chama tawala kipya.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sasa kwa mtindo huu hawajui kuwa ndio wanawatengeneza utengano wao wenyewe? Mimi nafikiri waendelee kuwatimua tu.. kuna maana gani kuendelea kubakia wakati moyo ulishatoka!?
   
Loading...