Elections 2010 Mchungaji amfagilia kikwete!!!

Si wachungaji wote ni wapakwa mafuta. Huyo mchungaji ni mpiga ramli tu kama Sheikh Yahaya. We can't rely on diviner priests!
 
ni vyema mashehe waliokuwa wakilia na maaskofu kama akina kakobe kuwa wasiwachagulie kiongozi wapigakura sasa waache unafiki na wamshukie huyu njemba...............................mashehe ni wa ajabu sana mwaka 2005 wakati askofu wa jiji kilaini anampigia debe jk na kumvika kilemba cha ukOka kuwa ni chaguo la mungu mashehe walikenua meno sasa maaskofu hao wamemhama jk baada ya kuijua ajenda ya siri aliyonayo sasa mashehe hao hao na ajenda yao ya siri ni kilio na kusaga meno na wanalalama...................why double standards?

treat others the way you would wish to be treated.........
 
ni vyema mashehe waliokuwa wakilia na maaskofu kama akina kakobe kuwa wasiwachagulie kiongozi wapigakura sasa waache unafiki na wamshukie huyu njemba...............................mashehe ni wa ajabu sana mwaka 2005 wakati askofu wa jiji kilaini anampigia debe jk na kumvika kilemba cha ukoka kuwa ni chaguo la mungu mashehe walikenua meno sasa maaskofu hao wamemhama jk baada ya kuijua ajenda ya siri aliyonayo sasa mashehe hao hao na ajenda yao ya siri ni kilio na kusaga meno na wanalalama...................why double standards?

treat others the way you would wish to be treated.........

lakini huyu askofu mbona anamfagilia jk baada ya mashehe kupiga kelele dhidi ya ukereketwa wa kakobe kwa chadema?
 
Si wachungaji wote ni wapakwa mafuta. Huyo mchungaji ni mpiga ramli tu kama Sheikh Yahaya. We can't rely on diviner priests!

Akihutubia Kibaha Mjini jana, Rais Kikwete aliwambia wapinzani kuwa wameshindwa kuendesha siasa na sasa wanacheza mchezo mwingine ambao ni ‘sihasa'.

Alisisitiza kauli yake kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni wa kisiasa na hauna uhusiano wowote na kuchagua kati ya Biblia na Korani, akiwataka wananchi wakatae wanasiasa wanaohubiri kuchaguana kwa misingi ya dini.

Aliwaeleza wananchi hao kuwa CCM ndicho chama chenye sera bora za kuwaletea maendeleo na kwamba vyama vingine vinaiga mambo ya chama hicho tawala, lakini hawajapatia.
 
Aliwaeleza wananchi hao kuwa CHADEMA ndicho chama chenye sera bora za kuwaletea maendeleo na kwamba vyama vingine vinaiga mambo ya chama hicho , lakini hawajapatia
 
Akihutubia Kibaha Mjini jana, Rais Kikwete aliwambia wapinzani kuwa wameshindwa kuendesha siasa na sasa wanacheza mchezo mwingine ambao ni ‘sihasa’.

Back
Top Bottom