Miaka kumi na nane kitendawili cha upinzani hakijateguliwa Tanzania

Nova Kambota

Member
Nov 12, 2009
62
1
Haya yote ni sehemu ya udhaifu wa CHADEMA na CUF lakini kuna mengi zaidi ya haya hasa kwa upande wa CHADEMA ambao wanaendesha propaganda zisizo na mwelekeo wala ujazo wa kimantiki,kimtazamo,kifikra na kifalsafa, angalia jinsi CHADEMA inavyotumia JAMII FORUMS na gazeti la Tanzania Daimahttp://novadream.blog.com/
 
Una hofu.

Unachokihofu ndicho kitakachotokea.

Pole

Kujadili hoja za wahuni kama akina NOVA ni kupoteza muda, haelewi kitu anafikiri World Bank inaendeshwa kihuni kama Sisi m!. Huyo siyo mzushi tu ni mhuni, suala la thamani kushuka au kupanda linategemea na uchumi wa nchi husika. Mbona kila siku shillingi inashuka thamani vikao vya kushusha vinafanyika wapi? na je huyo Mtei anahudhuria?
 
Mtaandika sana kuhusu vyama vya upinzani. Mnasahau kuwa vyama hivyo ni chombo tu cha kuleta mapinduzi. Nguvu kubwa iko kwa wananchi ambao watapiga kura, wao ndio watakaochagua viongozi wanaokubalika.

Watu wengi si wanachama wa vyama vya upinzani, bali wamechoshwa na sera za kudanganyana na kulaghaiana siku nenda rudi. Kwa sasa haijalishi kwao kuwa chama hicho kina historia ya miaka 100 au la, kama kimeshindwa kutimiza matumaini ya wapiga kura kilichobakia ni: bye bye!
 
Nova mpaka hapo ulipo nini unajivunia toka CCM?Nina wasi wasi hawa wanaotetea CCM ndo hawa watoto wa mafisadi bse kwa Mtanzania wa kawaida ni sawa na kuukumbatia umaskini.
Habari ndo iyo Slaa ie PHD holder raisi wa Tano Tz huleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We ***** sana.
Kuhusu TANZANIA DAIMA ni gazeti lao CHADEMA. je mlitaka ninyi ccm mdominate news media yooote ili wapinzani wasipate platform. Kuhusu JF hilo nakataa. kuna usawa humu, dawa ni wewe kuwa na hoja na siyo vioja.

Nilikufata kule kwenye globu yako maana mmejaa matusi na hoja zisizo na vina nadhani umeisoma ukaja huku ukakuta shubiri from page one to page zero
pole sana
 
Nova Kambota, Jamii Forums ni jukwaa huru na mtu yeyote aruhusiwa kujiunga na kutoa maoni yake kama wewe mwenyewe ulivyofanya. Ninavyoelewa wengi wa wana JF hawana vyama ila wanasimamia ukweli na ukileta hoja zisizo na mshiko jitayarishe kupokea vidonge vyako. JF ni jukwaa la kumkoma nyani bila kumwangalia uso na mahali ambapo wachangiaji wengi huita koleo kwa jina lake bila kumung'unya maneno.

Unadai una blog yako ambayo sidhani kama nina hamu hata ya kuitembelea baada ya kuuona msimamo wako na huko waruhusiwa kumwaga mawazo mgando kiasi chako. Ungekaa ukajiuliza kwa nini wengi humu JF wanaonekana kuiunga mkono Chadema na si vyama vingine, jibu ni rahisi kupatikana - wote wamechoshwa na utawala wa kisanii usiozingatia haki na sheria, utawala ulio na ubia na mafisadi na utawala unaotanguliza maslahi ya chama mbele ya taifa.
 
:grouphug: naona unatumia jf kunadi hako kablog kako ka ki sisiemu angalia siku ya mwisho mungu akunusuru na u,...........
 
Ni hivi:

Kuna listi ndefu ya watu ambao wamejipatia fedha nyingi kutoka kwa CCM na mafisadi lakini hawakutumia njia hii unayotumia: KUJIPENDEKEZA! Watu kama Mtikila, Professor Lipumba nk walianza siasa kwa kuikosoa CCM na mafisadi kikwelikweli. Walipoonekana wanahatarisha amani ya mafisadi wakahongwa fedha nyingi ili wanyamaze.

Na kampeni hii ya uchaguzi ilipoanza Mtikala alipokea tena fungu kuuuubwa kutoka kwa Kikwete and co ili asiwaandame wakati wa kampeni...
 
Huyu mtoto mnampa umaarufu bure. Anahitaji tu kupewa chandarua kimoja na madhiwa.

Nova kakojoe ulale mdogo wangu.

Mwenyezi Mungu anawaelewa siku zote watoto kama nyie msiojielewa. Akurehemu na roho yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom