Majira na Nipashe wagongana kuhabarisha kura ya maoni ya TCIB! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majira na Nipashe wagongana kuhabarisha kura ya maoni ya TCIB!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Oct 16, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Katika hali isiyo ya kawaida magazeti mawili ambayo tunachukulia wote wahariri wao walikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa TCIB yaani Tanzania Citizen Information Bureau lakini wametoa taarifa mbili zinazokinzana kwa chanzo cha habari kilekile kuhusiana na kura ya maoni ya Uraisi:-

  Mgombea........................Majira............................Nipashe

  Dr. Slaa.........................48%...................................45%

  J.k....................................38%...............................41%

  Prof. Lipumba......................5%...................................10%

  Others..............................9%.......................................4%

  Kwa kuyapitia magazeti haya mawili na ukizingatia magazeti yenye kuegemea kwa JK na CCM yake yameifumbia macho taarifa hii kama vile hawana habari ni vigumu kwa msomaji ambaye hajapitia kwenye tovuti ya wahusika au kuwepo kwenye mkutano husika kujua ni takwimu zipi ni sahihi.

  Hii inaonyesha vyombo vyetu vya habari visivyo makini katika kutuhabarisha....
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  KWANINI MUANDIKIE MATE...???

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kaazi kwelikweli, hapo ndo uone umakini wa wahariri wetu. Ingekuwa kwingine basi TCIB wangeshitaki kwa upotoshaji!
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mimi nilivyoelewa majira na Nipashe wamezungumzia mambo mawili tofauti, Majira wao wamezungumzia kukubalika (Umaarufu wa wagombea) na Nipashe wameongelea nani angekuwa mshindi kama kura zingepigwa wakati wa utafiti. kwa vyovyote vile Dr Slaa anaongoza kwa yote mawili.

  Utafiti huu umekuwa 'elaborative' kuliko zilizotangulia kwani umejaribu kuelezea methodology ambayo kwa kiasi kikubwa imekidhi vigezo vya utafiti. wameonyesha jinsi walivyofanya sampling (Multistage sampling) ambayo ilikuwa randomized, lakini pia kulikuwa na representation za age tofauti tofauti na hivyo kuondoa bias. Sample size hupatikana kwa formula ambayo huwa inahusisha "prevalence" iliyopatikana kwenye tafiti za aina hiyo zilizopita na kwa vyovyote vile kama methodology ni nzuri sample yoyote yaweza kuwa representative (isiwe ndogo sana-ingawa hata sample ndogo zina methods zake za data analysis ambazo zikifanywa vizuri huondoa bias). Nawapongeza TCIB. Wengine waige. S
   
 5. m

  mbea Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo matokeo ya chadema forums hayana mantiki yoyote,ni pumba tuu!
   
 6. h

  hagonga Senior Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli coment yako imewakilisha Jina lako
   
 7. h

  hagonga Senior Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli magazeti haya mawili yalifocus kwenye mambo mawili tofauti yaani umaarufu na nani angeshinda.

  Habari kamili soma tanzania daima,imeeleza vizuri
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwakifupi JK anaongoza kwenye mikoa isiyo na wasomi wengi, chaguo la wajinga na wasioelimika.
   
 9. ALU-MASOLI

  ALU-MASOLI Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :A S thumbs_up:
  Siku zote kwenye msafara wa mamba kenge huwa hwakosi. Big up! kwa kukejeli waliofanya utafiti ambao umegusa karibu kila nyanja ambayo watanzania walihitaji kuisikia.
   
 10. coby

  coby JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Magazeti yote yapo sahihi, majira wameripoti umaarufu au kukubalika na nipashe wameripoti matokeo kama uchaguzi ungefanyika siku ya maoni. For more details follow the link Kura mpya ya maoni: Dk. Slaa ampiku JK
   
 11. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
 12. D

  Divele Dikalame Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima wagongane maana siku zote kuuripoti uongo kunahitaji uhariri wa makini sana, Slaa hana hata asilimia 10 ni mbabaishaji fulani, na mnaojifaragua kumshabiki labda hamumjui vyema mnamwinginza kwenye mechi ngumu, kupambana na Kikwete si kazi mchezo, Kikwete ni mwisho wa rubishi ya batoto mnaohangaika kumpinga nadhani mwacheza makida, hivi bahari inaweza kunajisika kwa mbwa kutia mdomo?
   
 13. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hata mimi naona!!
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wametofautiana kwa sababu utafiti uliyofanyika ulihusu mambo viwili tofauti,kuna suala la mgombea maarufu na suala la mgombea utakayempigia kura.Kwa hiyo baadhi ya vyombo vya habari vimeongera umaarufu vingine vimeongerea mgombea utayemgigia kura.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  ha! ha! ha!

  Yaani hauamini?

  Mwaka huu mutaisoma!
   
 16. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu jamaa zinamtosha kweli?? wana jamvi nisaidieni nijue hiki alicho andika!
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Originally Posted by Divele Dikalame
  Lazima wagongane maana siku zote kuuripoti uongo kunahitaji uhariri wa makini sana, Slaa hana hata asilimia 10 ni mbabaishaji fulani, na mnaojifaragua kumshabiki labda hamumjui vyema mnamwinginza kwenye mechi ngumu, kupambana na Kikwete si kazi mchezo, Kikwete ni mwisho wa rubishi ya batoto mnaohangaika kumpinga nadhani mwacheza makida, hivi bahari inaweza kunajisika kwa mbwa kutia mdomo?

  Mkuu wala huhitaji msaada maana hata mie sioni aloandika nimejaribu kupiga msuli lkn duh nimelamba F,nahitaji tuition yoyote hapa...SLAA FOR 2010 2015
   
 18. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mlangira Rutashubanyuma Magazeti yote yapo sawa moja linaongelea umaarufu (hapo ndio watoto walihojiwa pia) na nani angeshinda (hapo ni wapiga kura tu). So usijali hawajachakachua
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hata yeye mwenyewe sidhani anajua alichoandika.
   
 20. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Chagua slaa, chagua mabadiliko
   
Loading...