Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sheria hii ya Uchaguzi ya 1984 Sehemu ya Kipengele chake ilikuwa inasema: (2) The Electoral Commission may, for any reason which appears to be sufficient, require that the votes in the...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumesikia mengi sana kati ya JK na Dr.Slaa! sasa tusubiri tuone hii vita ya Chenge na Samweli sita itaishia wapi kuhusu kinyanganyiro cha kugombea Uspika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TZ...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani nawezaje kupata uraia wa Rwuanda? kama chenge atakuwa spika wa bunge la JMT na EL kugombea uraisi 2015 na RA kuendelea kugharamia mafisadi basi kiama cha Tanzania kimefika. Nahitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Watanzania ni watu wanaopenda umoja na amani" ukimsika mtanzania anayetamaka haya maneno ni wakuogopa sana. Hivi kuna amani na umoja gani wakati wengine hawana chakula cha kula hata kwa siku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati CCM wasema elimu bure haiwezekani na JK hata anadiriki kuwaponda wanaoidai ni ............"absolutely nonsense"........wenzetu wa Kenya ambao wapo makini siyo kama sisi tuliojaa bla-bla tu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona website ya tume ya uchaguzi inakosa matokeo rasmi ya uchaguzi licha ya maafisa mbalimbali wa tume hiyo kuyatangaza rasmi matokeo ya majimbo mbalimbali. Wakati nafungua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawashangaa sana viongozi !! Maaskofu na Masheikh... Wanataka amani gani wakati rasilimali za watanzania zinaibwa kweupe? Kwani nini hawa viongozi wa dini hawakemei maovu ya serikali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tupe muongozo kiongozi, ila kuwa nje ya bunge naamini utaimarisha chama mpaka kila kona ya kila nchi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KATIKA KUONYESHA KWAMBA HATA WAO HAWAWEZI KUBADILIKA WATOTO WA MAFISADI BADO WAMEENDELEA KUWA NA WAO MAFISADI AU WAMEENDELEA KUSHANGILIA BABAZAO JINSI WANAVYOHUJUMU UCHUMU WETU. MFANO, MIRAJI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimeupenda ubunifu huu..! come 2015 kofia za chama cha mafisadi zichakachuliwe namna hii. picha kwa hisani ya blog ya francis gondwin
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi, Uchaguzi umemalizika, japo ni kwa mtindo wa sadakalawe, mwenye kupata, kupata hata kama ni kwa kuiba, bado kapata tuu na mwenye kukosa, kakosa hata kama ni kwa kuibiwa, kudhulumiwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Chenge na Uspika Suala la Bwana Andrew Chenge kugombea uspika limezua mjadala maeneo mbalimbali kama ilivyokuwa wakati kashfa ya radar ilipowekwa adharani (na kashfa nyingine zilizoibuka) na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mussa Juma,Arusha KAMPENI za kumsaka Meya wa jiji la Arusha, zimeanza mjini hapa baada ya kumalizika uchaguzi mkuu na wagombea wa vyama vitatu vya Chadema, CCM na TLP wanatajwa kuwania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mesikia katika vyanzo vya habari kuwa kauli ya JK, amewaambia wananchi kuwa uchaguzi umeisha kwa ivyo sasa ni wakati wa kuponya madonda ya uchaguzi, aidha amewataka watanzania kusahau yote...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama Chadema watawakaribisha wapinzani wengine kwenye kambi hiyo Bungeni basi TLP iachwe kabisa kwani ni hatari kama UKIMWI. Mrema amekuwa akimpigia kampeni JK kwenye jimbo lake badala ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Please check out below pic and have your say:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesoma kwa masikitiko makubwa juu ya kile ambacho Chenge anataja kuwa sababu yake ya kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha 2010-2015. Chenge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Wakuu halmashauri ya jiji la Arusha itaongozwa na upinzani iwapo vyama vya CHADEMA na TLP vitaunganisha nguvu dhidi ya CCM yenye viti vingi.CCM ilipata viti kumi [10]vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NGUVU YA ZIADA na KAZI YA ZIADA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom