Viongozi wa Dini Waikemee serikali, ccm na NEC - Wamwache Dk Slaa atuamshe watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Dini Waikemee serikali, ccm na NEC - Wamwache Dk Slaa atuamshe watanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MPadmire, Nov 8, 2010.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,237
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Nawashangaa sana viongozi !! Maaskofu na Masheikh...

  Wanataka amani gani wakati rasilimali za watanzania zinaibwa kweupe?

  Kwani nini hawa viongozi wa dini hawakemei maovu ya serikali??

  Kwanza Tanzania hakuna amani, kuna utulivu.

  Amani gani mtoto amerudishwa ada shule, mlo mmoja, nyumba za tembe/

  Vibaka, wezi,machangudoa na malaya wameongezeka.

  Jamani tuwaambia hawa viongozi wa dini
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,651
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wanafiki sana viongozi wa dini wa Tanzania, mi wananikera sana kwa kweli, wengi wanajikomba CCM. Sijui watajibu nini kwa Mola!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Jamani CCM ni mfumo. Tena mfumo hasa. Ili kuumaliza mfumo wowote, lazima uufumue. Kazi kweli kweli.

  Wanaojiita Maaskofu musifikiri ni Maaskofu kweli.

  Wengine ni Maustadh walishapandikizwa kuwa Maaskofu miaka mingi tangu wakiwa wadogo. Lengo moja tu. Kuua Ukristu. We know this.

  Ulishawahi kusikia kesi za ulawiti katika dini ya Uyahudi?

  Hakuna.

  Leo tuna mapadri feki (waislamu) walio vaa ngozi za ukasisi, wanalawiti watoto. Tunaambiwa "Padri kabaka mtoto". Wizi mtupu!
   
 4. M

  Mwanakamati New Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nawashangaa viongozi wa dini kumfuata Dr. na kumwacha Kikwete na sisiemu ambao kwa makusidi kabisa wameamua kutumia nguvu zote kubaki madarakani.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Usilete chuki za kidini humu.
  Mtoa mada amezungumza viongozi wa dini akimaanisha viongozi wa dini zote. Sasa wewe unatoka nje ya mada kabisa na kuleta habari za mapadri kulawiti, imekujaje! Kama huna la kuongea kaa kimya usilete chuki za kidini humu.
   
 6. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,204
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Lini atatokea Desmond Tutu wa Tanzania?
   
 7. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Separation of church and state is a really big problem in 3rd world countries.
   
Loading...