Kikwete kuzindua Bunge Nov.17


Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,248
Likes
30,204
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,248 30,204 280
Wanabodi,
Uchaguzi umemalizika, japo ni kwa mtindo wa sadakalawe, mwenye kupata, kupata hata kama ni kwa kuiba, bado kapata tuu na mwenye kukosa, kakosa hata kama ni kwa kuibiwa, kudhulumiwa, kuonewa na kunyanyaswa, the bottom line ni kakosa.

Japo ni muhimu sana kukaa chini na kutafakari historia ya tulikotoka, tulipo ili tuone tunapokwenda, pia ni muhimu zaidi kutokumbatia yaliyopita ni ndwele, tungange yajayo for 2015, hivyo sasa macho yetu yote tuyaelekeze Dodoma.

Wabunge wanakusanyika rasmi Dodoma kuanzia kesho, kwanza watasajiliwa. Baada ya hapo, wataaungana na wenzao wa viti maalum. Siku ya Ijumaa asubuhi, Watamchagua Spika na naibu spika na zoezi la kuwaapisha litaanza rasmi. Watapumzika wikiendi hii kujilia kuku zao na wengi wao kutambulishwa rasmi eneo la Mnadani.

Update:
Rais, ameshaitisha tangazo la kuitisha bunge kuanzia leo.
Wabunge walioko Dar, wanajisajili pale ofisi ya Bunge, wengine watajisajilia Dodoma.
KAikao cha kwanza cha Bunge, kitaanza Alhamisi kwa vikao vya kamati za siasa za vyama kupendekeza majina ya wagombea uspika.

Saa 10:00 jioni ya Alhamisi ndipo bunge litapokea majina ya wagombea uspika.
Mkutano wa kwanza wa Bunge, utaITISHWA Ijumaa asubuhi kwa kusomwa tangazo la rais kuitisha Bunge kikifuatiwa na uchaguzi wa spika atakayeapishwa na Katibu wa Bunge, wimbo wa Taifa utapiogwa ukifuatiwa na dua na kiapo cha utii kwa wabunge wote.
Jumamosi, Jumatatu kuapishwashwa kutaendelea.

Jumanne ndio jina la waziri mkuu litafichuliwa, Waziri Mkuu atatoa hotuba ya shukrani, na utafuatia uchaguzi wa naibu spika.

Jumatano asubuhi, Waziri Mkuu mpya (wa zamani kama alivyo rais mpya) ataapishwa rasmi Ikulu ya Chamwino, saa 10:00 jioni ndipo rais atalihutubia Bunge kwa hotuba ya malengo mfano wa 'State of Nation Address' ambapo litaahirishwa rasmi mpaka kikao cha Januari, 2011 na kumalizia kwa tukio la kugonganisha glasi usiku pale katika viwanja vya bunge.

Alhamisi atatangaza baraza jipya la mawaziri. Jumamosi asubuhi, baraza hili litaapishwa rasmi katika viwanja vya Ikulu. Jumatatu inayofuatia, mawaziri wa zamani, watakabidhi ofisi kwa mawaziri wapya, serikali mpya ndio itaingia kazini rasmi.
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
151
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 151 160
mkuu mbona hiyo itakua nje ya siku saba
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
4,847
Likes
1,097
Points
280
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
4,847 1,097 280
Ahsante kwa kutuwekea hiyo ratiba. Tutafuatilia tujue yanayojiri katika siasa za Tanzania
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,032
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,032 280
Asante sana Pasco..
 
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Messages
5,153
Likes
644
Points
280
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2009
5,153 644 280
Safari ya kwenda ''kujitambulisha'' US, UK, etc. lini?
 
Mfamaji

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Messages
6,597
Likes
663
Points
280
Mfamaji

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2007
6,597 663 280
Safari ya kwenda ''kujitambulisha'' US, UK, etc. lini?
Safari hii wamemshitilia mbali , hawakumbatii mafisadi na wanaojiweka madarakani bila ridhaa ya wananchi
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,248
Likes
30,204
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,248 30,204 280
mkuu mbona hiyo itakua nje ya siku saba
Acid, ni kweli iko nje ya siku 7, ila katibu inatamka kuwa bunge jipya lazima likutane ndani ya siku 7 tangu kuapishwa kwa rais. Hivyo bunge jipya liaanza kukutana Jumatano which is ndani ya siku 7 kwa majibu wa katiba, labda niirudie tena katiba nijiridhishe kama imetamka rais lazima alihutubie bunge ndani ya siku 7, then lazima tupige kelele, asiuanze muhula wake wa lala salama kwa kupindisha katiba.
 
Andrew Kellei

Andrew Kellei

JF Gold Member
Joined
Sep 11, 2009
Messages
349
Likes
15
Points
35
Andrew Kellei

Andrew Kellei

JF Gold Member
Joined Sep 11, 2009
349 15 35
Asante kwa taarifa,tutafuatilia mambo yatakavyokwenda.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,248
Likes
30,204
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,248 30,204 280
Update:
Rais, ameshaitisha tangazo la kuitisha bunge kuanzia leo.
Wabunge walioko Dar, wanajisajili pale ofisi ya Bunge, wengine watajisajilia Dodoma.
KAikao cha kwanza cha Bunge, kitaanza Alhamisi kwa vikao vya kamati za siasa za vyama kupendekeza majina ya wagombea uspika.

Saa 10:00 jioni ya Alhamisi ndipo bunge litapokea majina ya wagombea usipika.
Mkutano wa kwanza wa Bunge, utaITISHWA Ijumaa asubuhi kwa kusomwa tangazo la rais kuitisha Bunge kikifuatiwa na uchaguzi wa spika atakayeapishwa na Katibu wa Bunge, wimbo wa Taifa utapiogwa ukifuatiwa na dua na kiapo cha utii kwa wabunge wote.
Jumamosi, Jumatatu kuapishwashwa kutaendelea.

Jumanne ndio jina la waziri mkuu litafichuliwa, Waziri Mkuu atatoa hotuba ya shukrani, na utafuatia uchaguzi wa naibu spika.

Jumatano asubuhi, waziri mkuu ataapishwa rasmi ikulu ya Chamwino, saa 10:00 jioni ndipo rais atalihutubia Bunge na kumalizia kwa tukio la kugonganisha glasi usiku pale katika viwanja vya bunge.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,248
Likes
30,204
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,248 30,204 280
mkuu mbona hiyo itakua nje ya siku saba
utakuwa umeona update, kumbe Mkulu ameshasaini tangazo la kuitisha bunge.
 
G

gomezirichard

Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
71
Likes
1
Points
0
G

gomezirichard

Member
Joined Nov 2, 2010
71 1 0
Mhh nachelea watakakuwepo kwenye hilo baraza la mawaziri je mtoto wa makamba atakuwepo? Sijui mana ameshasema mwanae asipokuwepo atashangaa kwanza anamshangaa nani wakati wao ndio wanaweka mawaziri

mzee gomezi
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,248
Likes
30,204
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,248 30,204 280
Mhh nachelea watakakuwepo kwenye hilo baraza la mawaziri je mtoto wa makamba atakuwepo? Sijui mana ameshasema mwanae asipokuwepo atashangaa kwanza anamshangaa nani wakati wao ndio wanaweka mawaziri mzee gomezi
mzee gomezi, ukiachilia mbali maneno ya baba mtu, kijana ni briliant na smart upstairs hivyo ana uwezo mkubwa kumsaidia sana JK kwenye hilo baraza jipya. Nawaombeni sana sana sana, tusiwe wepesi kuwahukumu watoto kwa majina ya baba zao.
 
Nyahende Thomas

Nyahende Thomas

Verified Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
212
Likes
2
Points
35
Nyahende Thomas

Nyahende Thomas

Verified Member
Joined Nov 5, 2010
212 2 35
mzee gomezi, ukiachilia mbali maneno ya baba mtu, kijana ni briliant na smart upstairs hivyo ana uwezo mkubwa kumsaidia sana JK kwenye hilo baraza jipya. Nawaombeni sana sana sana, tusiwe wepesi kuwahukumu watoto kwa majina ya baba zao.
Hata pale wanapoyatumia kwa maslahi yao binafsi tusiseme mkuu?
 
B

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
1,089
Likes
1,269
Points
280
B

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
1,089 1,269 280
Mi mjinga naomba kujua. Hivi bunge likianza j5, nani atakuwa anaongoza bunge hilo kama spika bado hajachaguliwa?
 
B

Bwassa

Member
Joined
Jun 16, 2009
Messages
76
Likes
23
Points
15
B

Bwassa

Member
Joined Jun 16, 2009
76 23 15
Jamani,

Wako wapi wakereketwa wa Dk. Slaa? Sisi wengine tulisema tangu awali kuwa kura hazitatosha! Wabunge wa Chadema walioshinda, kina Mnyika, Lisu, Lema nao wamechakachua?Karata yake ya mwisho ilikuwa kufanya uchochezi wa kuanzisha vurugu, kwa kuwasingizia Usalama wa Taifa kuwa wamechakachua ili akamatwe na kusweka rumande na baadaye wafuasi wake waandamane na kuleta fujo na baadaye iwe vurugu kubwa na hata watu wapoteze maisha katika kuzima fujo hizo! Mtego huo umemnasa mwenyewe. Matokeo yake ametahayari hata haonekani hadharani! Ameshinda jambo moja: Kuiongezea Chadema ruzuku, naye, kama mkataba aliokubaliana na kina Mbowe ulivyo, atakula Sh. Milioni 12.5 kwa mwezi! Dk. Slaa kwa Urais: Not reachable. Try again later!

Bwassa
 
Waridi

Waridi

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Messages
1,027
Likes
2
Points
135
Waridi

Waridi

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2008
1,027 2 135
Hivi, kila chama kimepata wabunge wangapi wa viti maalum? Mwenye taarifa tafadhali...
 

Forum statistics

Threads 1,237,757
Members 475,675
Posts 29,299,708