Elections 2010 Msaada tafadhali

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
250
NGUVU YA ZIADA na KAZI YA ZIADA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni nini?
 

DECRO

Member
Nov 6, 2010
9
0
huu usemi kwa kweli ni tata sana na kila m2 anaweza kutoa jibu lake
nguvu ya ziada-vyombo vya dola
kuchakachua kura
kupunguza idadi ya wapiga kura
mie sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:smile-big:
 

Kyakya

JF-Expert Member
Apr 24, 2009
398
195
Kila kitu kiko wazi kabisa Nguvu ya Ziada ni utaratibu Nje ya wakawaida katika upigaji Kura! Yaani Uchakachuaji na mengine kama hayo ili uonekane umepata ushindi wa Kimbunga. Shame on CCM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom